Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Mengi umesema ukweli don't impress women kama utafanya hvo siyo vibaya ila don't expect positive impact kutoka kwake maana expectations ndo zinazotuumiza fanya kwa mapenzi tuu na siyo kutegemea chochote
 
Shida ni kwamba kabla ya ndoa wanawake huwa wana-fake character zao, ndio maana wanaume huwa wanalalamika wake zao ubadilika baada ya kuolewa. Hii ni tofauti na wanaume huwa hatu-fake character, yaani kama ni mlevi, muhuni, play boy n.k basi hizo tabia zote atazionyesha pale pale kwenye mahusiano ya boyfriend and girlfriend. Tatizo lenu wanawake kwenye kufanya uchaguzi huwa mna-prefer bad boys over nice guys. Nice guys huwa mnawakumbuka dakika za mwisho when you're done with the streets. Ndio maana mara zote nice guys wanakuaga retirement plan
 
Katika hicho kipengere ulichoki-quote mimi sijapinga mahusiano ya mwanaume na mwanamke wenye dhamira ya dhati ya kujenga familia, isipokua nime-expose ule mkataba wa kisheria unaoitwa "ndoa". Muundo wake haumlindi mwanaume. Wise man anaweza kuchukua maamuzi ya kujilinda mfano kusaini prenup au kuandikisha mali zake majina ya mama ake
 
Mimi ni Mkristo but I have to say that you are the worst gospel messenger.
I suggest you focus on the good ones and personally demonstrate your excellent gospel propulsion skills.

I personally don't waste my time on "bad preachers".

Hayo mengine sina muda wa kuelezea, you either gerrit or forget abourit.

NAURUDIA UJUMBE WA BURE WANAOTESEKA WATIE AKILINI:
 
Kuna watu hawajawahi kupendwa na hawatokuja kupendwa hadi wafukiwe ardhini watapendwa na mama yao tu

Mtakufa mioyo yenu ikiwa imejaa machungu, makasiriko na mawazo machafu machafu.

(short explanation: its their own doing. They're creating this reality by themselves.)
 
Vitendo gani sasa, fighting women?

Stay single and wait for the Lord. Acha kuteseka na K.
Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.
 
Being great ndo nini? Kupendwa na strangers?

A man should focus on his GOD.
 
Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.
Actually women empowerment ni mbinu za kuishi bila mwanamume.

Which is what I was trying to do here, empower men: Stay Single.

Maana mnajitesa hadi huruma, mara be rude, be careless, beating yourselves up for being broke...

Yani you guys are turning yourselves into these miserable monsters no woman will want to be around, ironically you won't achieve the very goals you had for turning yourselves into these monsters.
 
Haina maana nyingine zaidi ya kuwa hakutaki.

Labda kama hiyo friend zone ni ya mwezi mmoja tu. Mwezi unatosha kufahamu tabia ya mtu if that is an excuse.
Sio tu hakutaki maana kama hakutaki anaweza tu kukata connection na mwanaume project ikaishia hapo Friendzone ni mkakati ambao unaenda mbali zaidi ya mwanaume kukataliwa.

Mwanamke anamuweka mwanaume kwenye friendzone kwa sababu hayupo tayari kuwa katika mahusiano nae lakini bado anataka free attention na admiration kutoka kwa huyo mwanaume.
 
Halafu muwe mnakubali mlikosea.

Rarely do I see this.

Say I Married the wrong woman.
I made a mistake. I made the wrong choice. I missed the red flags.


Lakini kwakuwa hamkoseagi, nyie ni viumbe logical na mna akili sana,

ndio mnajipata na hii mental disturbance: demonizing women: kurudiarudia women this women that. Mtu huyo huyo miaka nenda miaka rudi content ni hiyo hiyo.

Its pathetic.
 
Hakuna mkinzano wowote kati hizo point mbili ukizozitaja. Bikira bado wapo. Ugumu wa kuwapata unatokana na circle yako unayofanya mawindo.

Kuna uwezekano mkubwa wa kupata mke bikira kama unafanya mawindo yako kwenye familia ambazo zinajulikana zina maadili kuliko ukiwa unafanya mawindo pale kitambaa cheupe. Mimi mke wangu nilikutana nae kwa mara ya kwanza alikua na miaka 19 na nilimkuta akiwa bikira
 
Wanapoongea wanaume jifunze kukaa kimya na usikilize Kwa umakini. Ndoa ni upumbavu wa mwanaume kuamua kufuga mwanamke.
Me naona watoto tu wanalialia.

YES achaneni sio tu na ndoa, achaneni mahusiano altogether.

Mahusiano is for happy people with good mental and spiritual health. There's not much of these typa people today.

Stay single guys.
 
Mwanaume akiwaambia wanaume wenziwe namna bora ya kuishi na wanawake inakuwa fighting women. Lakini wanawake wakipeana mbinu za kuishi na wanaume inaitwa women empowering. Double standards.
Huyo jamaa ni wale wanaume ambao wamealibiwa akili na huu ulimwengu wa kifeminism tunaouishi kwa sasa. Feminism haujaalibu akili za wanawake tu, imealibu akili za baadhi ya wanaume pia kwa kuwafanya kufikiri kwamba kushusha thamani zao mbele ya mwanamke ndio ugentleman.
 
Haina maana nyingine zaidi ya kuwa hakutaki.

Labda kama hiyo friend zone ni ya mwezi mmoja tu. Mwezi unatosha kufahamu tabia ya mtu if that is an excuse.
Friendzone nayozungumza ni pale ukiwa umeachana na manzi yako alafu anataka uwe kwenye friendzone naye
 
Kwenye upande hapo wa bikra kwa kweli nichangamoto sana kupata labda useme yule ambaye hajatumika sana tunaweza kukuelewa
 
Sawa.
 
Kuna our wish na kuna uhalisia. Nakubali kabisa kuwa kila mwanaume angependa kuanza 0 na mwanamke wake, Kama ambavyo wanawake tunatamani tungeanza 0 na mwanaume ambaye hajapigwa matukio/ mnaita mwenye trauma chache za mahusiano… Ofcoz sio mahusiano tu hata trauma za familia anakotokea. Kila mtu anatamani mtu pure, aanze kummodify mwenyewe unfortunately chances are 0.00006

Mahusiano ni process ya utu uzimani, na kwasababu hatuanzi mahusiano tukiwa watoto hatuna budi kukutana na watu waliopita kwenye mikono ya wengine. Huu ndio ukweli mchungu.

Bikra zingekuwepo kwa kiwango unachokihubiri hapa hakuna mwanaume angeacha kuopt huko.

Mimi sio kwamba nabagaza wanaume kutafuta bikra, No natoa suluhisho halisi, Nalo ni kutokuoa.

Leo sijataka kutumia ile kejeli yetu maarufu ya kuoa wanaume wenzao.
 
Everyone’s sick.

Art of detachment ni somo ambalo kila mtu anatakiwa alifahamu, unfortunately attachment kwa ambaye huna kazi nae inakuja mtu ukiwa naive, Na hii ni stage ya ukuaji. Sidhani kama watu wanaweza kulazimishwa kukua kiakili.
 
Hahahahaha akili kubwa sanaaa ,na ukiwa Bongo lala 🤣 😆 😂 😅 😄 😭 🤣 😆 😂 😅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…