Mambo ambayo jamii inakutaka usiyazingatie ili uitwe gentleman(code name ya simp)

Hilo suala la kuforce tuoe bikra ungetafuta namna nyingine ya kutushauri maana hata huko vijijini kwenyewe unatafuta kwa tochi tukija kwenye uhalisia hauko hivyo kabisa
Hakuna popote nilipoforce ndugu yangu. Naeleza ukweli kwamba vipengele vya heshima, maadili na purity bikira yupo juu zaidi ya mwanamke ambae ashatumika.

Vilele potential ya kutengeneza bond ni kubwa kwa mwanamke bikira na ya kutosalitiwa ni ndogo kwa mwanamke bikira na ni kinyume chake kwa mwanamke ambae ambae anakuja kwako akiwa na dispointments, comparisons, emotional baggages na trauma kutoka kwenye mahusiano yake ya nyuma

Hapo bado kuna insured womb. Ambae tayari ashatumika kuna uwezekano ashafanya abortions au kumeza vidonge vya P2 ambapo kuna side effects kwenye kizazi.

Kwa maana hiyo sijakuforce uoe mwanamke bikira isipokua nimekueleza ukweli. Mwisho wa siku uhamuzi wa mwisho ni wako mwenyewe.
 
😂😂😂😂 hata biblia ina agano la kale
 
Mbona ujumbe wangu uko clear Mimi sitafuti bikra natafuta mwanamke mwenye tabia njema na wapo wengi ila ukisema unatafuta bikra utastruggle sambamba nakupoteza muda wako bure, kazi tu inaniendesha huo muda wakutafuta bikra nautolea wapi? Mwamba tafuta namna nyingine ya kuwashauri watu badala ya kujikita kuhimiza waoe bikra hata tukisema waje walikutana na Bikra sidhani hata 10 tu watafika sometimes jitahidi kushauri vitu vinavyoendana na uhalisia Kama wewe ulipata bikra sio wote hiyo bahati wanayo, Mambo mengine yote nakuunga mkono ila sio kwa hili la bikra
 
Kwahiyo mwamba nisipopata bikra nisioe ?
 
Mbona ujumbe wangu uko clear Mimi sitafuti bikra natafuta mwanamke mwenye tabia njema na wapo wengi
Bikira ni indicator ya kwanza kabisa kujua tabia ya mwanamke. Tunavyoongelea bikira maana yegu ni kwamba tunaitumia kama kiwakikishi cha tabia zingine mfano mwanamke kujithamini mwili wake, heshima(kujiheshimu mwenyewe na mumewe mtarajiwa), nidhamu ya kudhibiti tamaa n.k
Hakuna ugumu wowote kupata mwanamke ambae bado bikira. Tatizo lenu vijana wenzangu mnamtafuta wife material ndani ya gigy money. Mwanamke mpaka kufika umri wa mtu mzima akiwa bikira basi kuna uwezekano mkubwa sana akawa na kiwango cha juu cha maadili. Kwaiyo wewe tengeneza picha ya mwanamke mwenye maadili halafu tumia kama muongozo wako hautakutana na ugumu wowote

Mfano mwanamke mwenye maadili anakua na character gani
1. Mavazi. Anavaa nguo zenye staha sio nguo za kubana kama skin jeans au za kuonyesha maeneo ya mwili wake kama vimini. Kama unategemea kukuta bikira kwa mwanamke anaevaa skin tight na tshirt oversize alafu nyumba kaipandisha juu ili eneo la matako liwe wazi basi hapo wewe ndie utakua mjinga

2. Mienendo. Mtu wa ibada, hanywi pombe wala kukesha club, ana cycle ya marafiki wachache sana

3. Umri. Miaka 18-22 uwezekano ni mkubwa zaidi. Kama unategemea kukutana na mwanamke wa 27+ akiwa bado bikira hapo wewe ndie utakua mpumbavu.

Wewe tengeneza picha ya mwanamke mwenye maadili halafu tumia kama muongozo. Bikira wapo kibao mtaani. Mimi nilivyoamua kufanya msako wa mwanamke wa kuoa attempt ya kwanza tu nilipiga on target
 
Unampima mwanamke kwenye mavazi? mkuu mpaka nakuambia hivyo tumepitia mengi wakati nipo chuo kuna mwanamke nilikuwa namzimikia kutokana na haiba yake, mpole, mnyenyekevu, mtu wa dini na anavaa mavazi ya heshima Sasa siku moja aliniomba nimjushie movie akiwa amenipa simu yake, si nikaona Kuna mavidio ya ngono, app ya mangekimandi na application ya tango Mkuu mwanamke huwezi kumpima kwa muonekano wake na huyo manzi kwa wakati huo alikuwa na miaka 21 tu
 
Mkuu mimi naongelea indicators za mwanzo katika kufanya ubashiri wako. Siongelei accuracy, naongelea probability.

Mwanamke mwenye mavazi ya staha probabilty ya kuwa na heshima ni kubwa zaidi ya anayovaa mavazi ya kuacha sehemu za mwili wazi.

Mwanamke bikira probability ya kuwa na maadili mazuri ni kubwa zaidi ya ambae ashatumika
 
Hiyo dhana unayoijenga ya bikra huwa haipo kijana huo umri unaozungumza ndio Binti wengi huwa vyuoni kwahiyo bado ni ngumu kupata bikra unafuu pekee kuwa na mwanamke ambaye Hana Mambo mengi lakini sio kusema utafute bikra, mkuu bikra ni bahati ya mtu labda uende kubaka watoto wadogo huko
 
Bikira na mtumba haiwezekani ukawaweka kwenye mzani sawa. Suala la kujivalisha unyonge na ku-settle na huyo unaemuita mwenye unafuu huo ni uamuzi wako ambao hauwezi kuufunika ukweli. Kupata mwanamke bikira sio bahati ni malengo yako tu.
 
Ni kweli
 
Point kubwa Sanaa hii umeongea mkuu
 
Kama taarifa za body count siyo issue, kwanini unazificha?
 
Hakunaga mwanamke sahihi..Cha msingi ni kuwa na uweza wakuendesha mambo..mastering a game
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…