Unachofikiria kinaweza kuwa utakachofanya
Utakachofanya kitatikana na ulichofikiria
Utaishi kutokana na ulichofikiri na kufanya
Asili ina kawaida ya kusababisha unachofikiria kitokee na hata wakati mwingine bila kufanya ulichofikiria
Positivity ni kuoa kwa mwanaume na koulewa kwa mwanamke
Yeyote anayekushawishi kufikiria kinyume yuko agaist nature na huwezi kushinda kwa kubishana na asili
Kila wazo lililo kinyume na utaratibu huo ni destructive na products zake lazima wrecked
Nnacho maanisha ni utulivu mkubwa katika kui study nature na ku adhere au kukubaliana nayo
Kutokuwa miongoni mwa familia bora sio kwamba hazipo au hazitakiwi
Kutapeliwa hakumaanishi waaminifu hawapo
Kukua katika uchokoraa hakumaanishi huwezi kuanzisha taasisi bora
Kubakwa hata kama ni mara kadhaa sio kwamba watongozaji wazuri hawapo
Think positive,act positive n stay positive