Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Kesi ya JF imeanza tangu awamu ya nne na sio ya tano.Jiwe hana mapenzi kabisa na social media platforms zote. Jamiiforums ndiyo usiseme kabisa, na ndiyo maana mmiliki wake amepewa makesi lukuki kwa kutukingia kifua na kuendelea kuficha IDs zetu
Wewe ni member wa 2012, je ni lini JF ilipotoa the list of shame?Kesi ya JF imeanza tangu awamu ya nne na sio ya tano.
Yapo mengi sana yamefanyiwa kazi, hususan ya kufichua ubadhirifu!...
Habari na wanahabari kuwekwa kundi la wakwamisha maendeleoNi mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums...
Hao wametuchelewesha sana. Kina Pascal Mayalla, Erick Kabendera, yaani na baba yao Hamza Kasongo na Jenerali Ulimwengu, pia KIPANYA wa Masoud, sidhani kama wanaruhusiwa kunuka nje ya mipaka yetu, labda james Gayo a.k.a KingoHabari na wanahabari kuwekwa kundi la wakwamisha maendeleo
1. Kuacha kutumia kipindi cha WASIOJULIKANANi mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums...
Naambiwa hata msafara wake bado una ulinzi utadhani ndiye PM.
Huyo ni write off bro, hatokuja pata nafasi tena kwa JPM hata ya kuwa DC.
NGUVU ya ndumba imeshaisha🤣Huyo ni write off bro, hatokuja pata nafasi tena kwa JPM hata ya kuwa DC.
Mpambe wa rais wa Zanzibar Uzi nilileta mwenyewe kwanini amekaa muda mrefu sasa amebadilishwaNi mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums.
Alipoingia Mkwere a.k.a Jakaya Kikwete, naye aliendelea kupitia pitia
JamiiForums ambapo mengi aliyafanyia kazi ikiwemo ile kesi ya mama kudhulumiwa nyumba na jina papaa msofe.
Utawala wa Magufuli nao hauko nyuma kwenye kuokoka mawili matatu, na Tayari wazo la Pascal Mayalla la kutaka twitter ifungiwe tayari limesha fanyiwa.
Hebu wenzangu tuyaorodheshe na mengine ambayo yanafanyiwa kazi kutokana na kubandikwa hapa jukwaani.
Allah msikh
Kuna kulindwa Ili usiuawe na maadui wa Serikali kwa vile wewe ni mtu muhimu, vile vile kuna kulindwa Ili USIROPOKE siri zetu.Naambiwa hata msafara wake bado una ulinzi utadhani ndiye PM.