Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Wanaume wengi huwa wanaamini kwamba ili kudumu na Mwanamke wanatakiwa kuhakikisha mwanamke anakuwa na furaha sana saa 24/7 . Ukweli mchungu ni kwamba hakuna mwanaume yeyote hapa ulimwenguni ambaye anaweza kumfanya Mwanamke kuwa mwenye furaha sana saa 24/7 .
Baadhi ya wanaume huamini kwamba kama wakionyesha kumjali sana mwanamke kwa kumhudumia, kumnunulia zawadi za gharama za mara kwa mara,kumfanyia surprise za mara kwa mara, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumjengea, kusaidia ndugu zake mwanamke, kuwafungulia biashara ndugu zake mwanamke, kumchukulia mkopo,kumpa mtaji n.k itafanya Mwanamke kuthamini sana na kukumbuka wema wa mwanaume katika maisha yake.
lakini uhalisia ni tofauti kwamba kwa asili sisi binadamu huwa tunakuwa na hulka ya ubinafsi hivyo haiwezekani kwa Mwanamke kuthamini jasho au juhudi za mwanaume hata siku moja.
Japokuwa wapo wanawake wachache wenye moyo wa shukurani lakini ukiangalia kwenye wanawake 10 wangapi wanaweza kuonyesha huo moyo wa shukurani?
MAMBO YA KUEPUKA NA KUZINGATIA
Kama ukiwa mwanaume umekutana na Mwanamke ambaye hana kazi yoyote,hana biashara,hajasoma,hana shughuli yoyote ya kumtunza , wakati huohuo Mwanamke huyo anapitia huzuni, simanzi majonzi, upweke uliopitiliza mbali na hivyo yupo na tabia ya ubabe, ukali kupitiliza kiburi, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali, utemi, hasira kupitiliza,
Vilevile anataka kukutawala kimabavu,anataka kukupangia sheria,anataka uishi vile ambavyo anataka yeye, vilevile hashauriki, haambiliki, anakuwa mjuaji sana, anakuwa mbishi sana kwa wakati mmoja jiulize swali hili: Huyo Mwanamke yupo na faida gani kwako ? je unaweza kumtambulisha kwa mama au dada yako bila kuhofia tabia zake ?
Ukweli mchungu ni kwamba Mwanamke yeyote ambaye anakula bure, anavaa bure, anatumia simu ya gharama bure, wakati huohuo unamjengea, kumfungulia biashara, kumtafutia kazi, kumnunulia zawadi za gharama, kumchukulia mkopo wakati huohuo Mwanamke huyo hafanyi kazi yoyote ya kukufurahisha kwa maana hiyo Mwanamke hana cha kupoteza endapo mtaachana ghafla,ni wazi kwamba ambaye anakwenda kuteseka na kulia siku za karibuni ni wewe.
Kwa kawaida mwanamke akipata fedha nyingi sana bure bila kufanya kazi yoyote ni wazi kwamba fedha hizo atakwenda kumhonga mwanaume ambaye hana malengo yoyote kwake , vilevile fedha nyingi sana atatumia kwenye anasa na kuwatunza marafiki zake kwenye sherehe.
kwa kuhitimisha ni kwamba Mwanamke yeyote kitu pekee ambacho huwa anakipa thamani ni jasho lake yeye mwenyewe sio jasho la mwanaume.
Hivyo kama ukiwa mwanaume ukifanya kosa la kubadilisha maisha ya mwanamke ambaye kwako hana faida yoyote ni wazi kwamba atakuacha ghafla aende kwa wanaume ambao hawana malengo yoyote kwake.
Faida ambayo namaanisha hapa ni kwamba kama hana kazi yoyote,hana biashara yoyote, hajasoma, hana shughuli yoyote ya kumtunza wakati huohuo tabia zake ni ubabe, ukali kupitiliza, kiburi, majivuno, jeuri, ujuaji, misimamo mikali, utemi, hasira kupitiliza ni wazi kwamba Mwanamke huyo ni mzigo kwako hana faida yoyote kwako.
Unawezaje kufanya kazi ya kumfariji, kumliwaza, kumtetea, kumpa ushauri, kumbembeleza, kumpa tahadhari za mara kwa mara mwanamke ambaye ni mbabe, mwenye hasira kupitiliza, mwenye misimamo mikali sana,mwenye lugha ya udhalilishaji, mwanamke mwenye dharau, majivuno, ukorofi,anapenda vitisho vya kuvunja mahusiano mara kwa mara?
Kisaikolojia ni kwamba kama unatumia nguvu nyingi sana,fedha nyingi sana,unampa ushauri kumbembeleza, kumpa tahadhari mwanamke mara kwa mara utajukuta unapata hisia kali sana za mapenzi kwake kisha hata kama atakuacha ghafla hauwezi kumtoa kichwani.
kwa kurahisisha ni kwamba pale ambapo Mwanamke anafanya ugumu kwako kuishi naye kwa amani anakuwa anatengeneza mazingira ya kukufanya ushindwe kumuacha na ushindwe kumtoa kichwani.
kwa mfano mwanamke ambaye kila siku anasema ameshindwa kumtoa kichwani ex wake ni wazi kwamba kama utatumia muda mrefu sana,nguvu nyingi sana,kumpa ushauri, kumbembeleza, kumpa tahadhari,kumpa zawadi za gharama, kumjengea, kumsaidia mara kwa mara,kumpa mtaji, kumchukulia mkopo ni wazi kwamba unakuwa unajichimbia kaburi wewe mwenyewe kwa uwekezaji mkubwa sana ambao unaufanya kwake.
Uwekezaji mkubwa sana fanya kwako wewe mwenyewe kwa sababu wanawake wengi hivi sasa wanaweza kuvunja mahusiano muda wowote bila kujali umefanya uwekezaji mkubwa sana kwake.
Hivyo ni bora muachane lakini aondoke bila uwekezaji mkubwa ambao unaweza kuufanya kwake.
Kama unataka kumjengea hakikisha nyumba ipo na majina yenu nyote wawili
kama unataka kumfungulia biashara hakikisha biashara ipo na majina yenu nyote wawili
kama unamnunulia zawadi za gharama hakikisha umeandika majina yenu nyote wawili
kama unamnunulia kiwanja hakikisha umeandika majina yenu nyote wawili
mwanamke ambaye utafanya uwekezaji mkubwa sana kwake kwa kuandika majina yake tu unakuwa umempa tiketi ya kukuacha aende kwa wanaume ambao anaona ni wa HADHI yake
Kama Mwanamke wako anataka biashara basi biashara hiyo aifungue kwa jasho lake yeye mwenyewe ili akiondoka aondoke na jasho lake sio la kwako.
Kama Mwanamke wako anataka umjengee basi nyumba hiyo aijenge kwa jasho lake ili akiondoka aondoke na jasho lake yeye sio jasho lako.
Mwanamke huwa anathamini sana jasho lake sio jasho la mwanaume hivyo kama mwanamke wako hataki kufanya kazi basi hastahili kumiliki biashara,wala nyumba ambayo umevuja jasho lako.
Ni bora mgawane mali ambazo Mwanamke amevuja jasho katika kupatikana kwa mali hizo kuliko kugawana mali ambazo hajavuja jasho hata kidogo.
Wanaume wengi wakiona mwanamke mwenye matumizi mabovu sana ya fedha humtumia kwa one night stand sio kumfanya mwenza wa maisha.
Mwenza wa maisha anakuwa mwenye akili ya kufanya kazi sio kupewa vitu vya bure.
Mwanamke wako afanye kazi ili mnapoachana hata akiondoka na watoto utakuwa na uhakika kwamba watoto watakuwa sehemu salama.
Mwanamke ambaye hana kazi yoyote ila anataka maisha ya kifahari huwa yupo kwa ajili ya one night stand sio kumfanya mwenza wa maisha,ukibadili matumizi yake utalia na kusaga meno.
Ni bora muachane na Mwanamke ambaye yupo na kazi , utakuwa na uhakika kwamba akitaka mrudiane anakuja kwako kwa sababu anataka mjenge familia imara sio kwa sababu anataka kukutumia kama tambara la deki ili akisimama vizuri kiuchumi aondoke .
Epuka kufanya uwekezaji mkubwa kwa Mwanamke ambaye hana faida yoyote kwako kwa sababu uwekezaji mkubwa sana ambao unaufanya kwake unageuka gereza kwako wewe mwenyewe.
Mwanamke ambaye yupo na kazi yake mwenyewe anakupunguzia mzigo wa kutaka kufanya uwekezaji mkubwa kwake ili akupende,hivyo hata mahusiano yakivunjika hakuna uwekezaji mkubwa sana ambao unakuwa umeufanya kwake kwa sababu kwako hakuwa mzigo sana.
Jambo la kuzingatia ni kwamba sio kila mwanamke anafaa kujenga naye familia hivyo basi badala ya kumbadilisha mwanamke aje kuwa Mwanamke wa ndoto zako ,muweke mahali anapostahili.
Kama amejiweka kama wife material muweke sehemu husika kama amejiweka kama sister doo huyo ni maalumu kwa ajili ya wanaume wanaotaka one night stand sio wenye kujenga familia.Ukijichanganya kubadilisha matumizi utalia na kusaga meno.
Muweke Mwanamke mahali anapostahili,akiwa mwema huyo zuia asije kuondoka kwako,akiwa jeuri muache aende kutumika kwa ajili ya one night stand huko mtaani wala usiwe na huruma kwa mtu asiejihurumia.
Mambo ambayo Wanaume wengi huwa Wanajigunza kuhusu mahusiano umri ukiwa mkubwa sana.