Mambo ambayo Wazee wetu wa zamani waliyakataa , Kwa sasa yadhihirika walikuwa sahihi!

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Kwema Wakuu!

Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa.

Mambo hayo ni pamoja na;

1. Elimu ya Mkoloni
Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote kabisa kipindi hicho ni hii elimu ya Mkoloni.

Walionekana hamnazo, walidharaulika baada ya watoto na wajukuu wao kupewa karanga za kuonjeshwa tukatema Big G ambayo tungeitafuna mpaka leo.

Kuna watu mpaka leo wanaweza wasielewe Logic ya Mababu zetu kuikataa elimu ya mKoloni lakini uhakika ni kuwa Muda utaongea

Waliikataa elimu ya mKoloni Kwa sababu haipo Kwa ajili ya kusaidia jamii yote, bali ipo Kwa ajili ya kusaidia watu wachache. Elimu ya mKoloni haina uwezo wa kuajiri Vijana wote nchini, lakini elimu ya Wazee wetu ijayo huo uwezo.

Elimu ya mkoloni inafanya watu wathamini pesa kuliko kazi, na kusababisha kizazi chenye Dharau Kwa baadhi ya kazi. Hii inasababisha kukua Kwa matabaka.

Ilhali Elimu ya Mababu zetu ililenga kuheshimiana Sisi Kwa Sisi na kila KAZI ni muhimu.

Elimu ya mKoloni ndio msingi Mkuu wa tatizo la Ajira ilhali Elimu ya mababu huwezi sikia kitu inaitwa tatizo la Ajira.

Elimu ya mkoloni imeharibu nguzo kuu ya jamii ambayo ni familia, ndio maana Wazee WA kale waliikataa elimu hiyo. Na walipoona wamezidiwa wakasema Mwanamke asipewe Elimu hiyo ya kikoloni Kwa sababu itaharibu na kuangusha jamii.

Swali, jamii imeanguka au haujaanguka? Kama unaona jamii haijaanguka basi pole zako,

2. DINI ZA KIGENI
Wazee wa zamani walikuwa wanaakili Sana licha ya kuwa bado kuna watu hawawaelewi.
Dini za Ukristo na uislam zilipigwa vita Kwa nguvu sana.

Wale Wazee walikuwa na sababu zao. Walishajua hizi Dini ngeni ni Kama nilivyosema awali kuwa ni Karanga za kuonjeshwa, huku tukitupa Big G.

Miaka mingi imepita Kwa sasa ipo wazi kuwa Dini hizi za Kigeni tuliingizwa mkenge, ingawaje kuna watu bado hawalioni hili lakini wachache washaanza kushtuka kuwa tulijichanganya.
Embu fikiria mnachanga michango ya kujenga shule ambazo watoto wako hawatazisomea, na wakizisomea unalipishwa gharama za juu kabisa kana kwamba sio wewe uliyetoa Mchango kujenga shule hizo za Kidini.

Mahispitali ya Kidini halikadhalika, watu wanatoa michango ya kujenga Hospitali za kimadhehebu lakini haiwasaidii chochote waumini.

Vitisho vya kijinga, sijui kutokuzikana na mambo ya hovyohovyo Kama hayo.
Wazeee wetu walishaona kuwa Dini mpya zitaongeza utengano ndani ya jamii kuliko umoja.

Dini zimekuwa sehemu ya kutukana mababu zetu, waliotuzaa na kutuligania na kulinda kizazi mpaka Sisi tukatokea, bila mababu zetu Sisi tusingekuwepo. Tunatukuza tamaduni na miungu ya kigeni kuliko miungu ya mababu yetu.

Mungu ni mmoja lakini miungu ni wengi. Yeye aliyetuumba weusi ndio huyohuyo anataka tuamini katika weusi wetu na Wazee waliokwisha kututangulia.

3. Mwanamke Asipewe Elimu ya Kikoloni.

Wazee wetu walikuwa wapo sahihi katika hili wala sina haja ya kulielezea.

4. Mwanamke asimiliki Mali.
Na mambo mengine Kama hayo mnaweza kuongezea.

5. Ukabila.
Wazee wa zamani walikuwa Wakabila, hawakutaka mambo ya sijui Mpare aoane na Mnyamwezi, sijui mnyamwezi aoane na Mkwere.

Walikuwa wanasema, wewe ni mjaluo unaoa Mluguru kwani Wajaluo hakuna wanawake, au kiherehere tu.

Wakaja wanaojifanya wenye akili wakasema ooh! Sio vizuri, blah blah blah! Sasa mpaka kufikia hapa Ngoma ngumu, kila kitu kimevurugika alafu elimu ya kikoloni Kwa vile ni gundi yenye kupofusha wasomi hata hawaoni chanzo ya mmomonyoko wa maadili ni nini na kuanguka Kwa familia ambayo ndio nguzo kuu ya jamii na taifa.

Taikon ninaamini kuwa kila kabila lilipaswa kuwa taifa. Lakini Kwa vile muda wa Jambo hili kueleweka haujafika ngoja tusubiri. Huwezi kuunganisha vitu visivyofanana wewe. Vitaungana Kwa muda kisha nature itavitenganisha tuu mwishowe ili kila kitu kirudi na kukaa mahali pale.

Miaka hamsini ijayo Kila kitu kitakuwa bayana,
Ule msemo wa Mkubwa hakosea utakuwa dhahiri kabisa.
Kizazi cha sasa kitakiri kuwa kilipotea Njia.

Ukosefu wa Ajira
Ongezeko la single mother
Anguka la ndoa
Ukosefu wa uzalendo,
Mmomonyoko wa maadili
Kuzuka Kwa tabia zinazotia kinyaa Kama ushoga,
Utapeli uliohalalishwa(dhulna) n.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
 
Mtumishi mmoja kanisani kwetu juzi namwambia alhamisi nitakuwa safari Arusha kwenye arobaini ya mkwe wangu,dah alianza kunichamba ohoo unaenda kwenye ibada zaa sanamu mwisho wa siku nikaona ananizingua tu bora niachane nae
 
Tabia yetu ya kumpambania mtoto wa kike kielimu na Haki sawa imeigharimu kizazi cha sasa.

Mwanamke kuwa msomi, kumiliki mali/mshahara mkubwa, Kuwa na Biashara zinazowaingizia kipato. Haya mambo yanasababisha Mke kujiweza kiuchumi na kutaka kuwa juu ya utawala wa mume na kupelekea wanawake wengi kuishia kuwa Singo Mother tu.
 
Wadada wanaona bora waishi kivyao ilihali ni wanzizi kupindukia. Yaani wahenga tutawakumbuka tu. Mimi baba yangu mzazi pamoja na kaka zangu walishaacha kusali kitambo walisema waligundua uongouongo mwingi
 
Dini zimekuwa sehemu ya kutukana mababu zetu, waliotuzaa na kutuligania na kulinda kizazi mpaka Sisi tukatokea, bila mababu zetu Sisi tusingekuwepo. Tunatukuza tamaduni na miungu ya kigeni kuliko miungu ya mababu yetu.

Soon narudi kuishi na kuziamini dini za wazee wetu.
Huu ni upuuzi mkubwa sana kuwa dharau na kuwasahau waliotuzaa..tumewakosea san wazee wetu no matter tunaishi kama mazombie..

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mtumishi mmoja kanisani kwetu juzi namwambia alhamisi nitakuwa safari Arusha kwenye arobaini ya mkwe wangu,dah alianza kunichamba ohoo unaenda kwenye ibada zaa sanamu mwisho wa siku nikaona ananizingua tu bora niachane nae
Hawa washenzi sana..wameharibu na wanazidi kuharibu akili za watu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kwema Wakuu!

Kuna mambo ya kale ambayo Wazee wetu waliyakataa na kuyapiga vita lakini wakaonekana hamnazo lakini Kwa sasa imedhihirika walikuwa sahihi kabisa, na aibu imetugeukia Wana usasa.

Mambo hayo ni pamoja na;

1. Elimu ya Mkoloni
Katika ya vitu ambavyo Wazee walivipinga Kwa nguvu zote kabisa kipindi hicho ni hii elimu ya Mkoloni.

Walionekana hamnazo, walidharaulika baada ya watoto na wajukuu wao kupewa karanga za kuonjeshwa tukatema Big G ambayo tungeitafuna mpaka leo.

Kuna watu mpaka leo wanaweza wasielewe Logic ya Mababu zetu kuikataa elimu ya mKoloni lakini uhakika ni kuwa Muda utaongea

Waliikataa elimu ya mKoloni Kwa sababu haipo Kwa ajili ya kusaidia jamii yote, bali ipo Kwa ajili ya kusaidia watu wachache. Elimu ya mKoloni haina uwezo wa kuajiri Vijana wote nchini, lakini elimu ya Wazee wetu ijayo huo uwezo.

Elimu ya mkoloni inafanya watu wathamini pesa kuliko kazi, na kusababisha kizazi chenye Dharau Kwa baadhi ya kazi. Hii inasababisha kukua Kwa matabaka.

Ilhali Elimu ya Mababu zetu ililenga kuheshimiana Sisi Kwa Sisi na kila KAZI ni muhimu.

Elimu ya mKoloni ndio msingi Mkuu wa tatizo la Ajira ilhali Elimu ya mababu huwezi sikia kitu inaitwa tatizo la Ajira.

Elimu ya mkoloni imeharibu nguzo kuu ya jamii ambayo ni familia, ndio maana Wazee WA kale waliikataa elimu hiyo. Na walipoona wamezidiwa wakasema Mwanamke asipewe Elimu hiyo ya kikoloni Kwa sababu itaharibu na kuangusha jamii.

Swali, jamii imeanguka au haujaanguka? Kama unaona jamii haijaanguka basi pole zako,

2. DINI ZA KIGENI
Wazee wa zamani walikuwa wanaakili Sana licha ya kuwa bado kuna watu hawawaelewi.
Dini za Ukristo na uislam zilipigwa vita Kwa nguvu sana.

Wale Wazee walikuwa na sababu zao. Walishajua hizi Dini ngeni ni Kama nilivyosema awali kuwa ni Karanga za kuonjeshwa, huku tukitupa Big G.

Miaka mingi imepita Kwa sasa ipo wazi kuwa Dini hizi za Kigeni tuliingizwa mkenge, ingawaje kuna watu bado hawalioni hili lakini wachache washaanza kushtuka kuwa tulijichanganya.
Embu fikiria mnachanga michango ya kujenga shule ambazo watoto wako hawatazisomea, na wakizisomea unalipishwa gharama za juu kabisa kana kwamba sio wewe uliyetoa Mchango kujenga shule hizo za Kidini.

Mahispitali ya Kidini halikadhalika, watu wanatoa michango ya kujenga Hospitali za kimadhehebu lakini haiwasaidii chochote waumini.

Vitisho vya kijinga, sijui kutokuzikana na mambo ya hovyohovyo Kama hayo.
Wazeee wetu walishaona kuwa Dini mpya zitaongeza utengano ndani ya jamii kuliko umoja.

Dini zimekuwa sehemu ya kutukana mababu zetu, waliotuzaa na kutuligania na kulinda kizazi mpaka Sisi tukatokea, bila mababu zetu Sisi tusingekuwepo. Tunatukuza tamaduni na miungu ya kigeni kuliko miungu ya mababu yetu.

Mungu ni mmoja lakini miungu ni wengi. Yeye aliyetuumba weusi ndio huyohuyo anataka tuamini katika weusi wetu na Wazee waliokwisha kututangulia.

3. Mwanamke Asipewe Elimu ya Kikoloni.

Wazee wetu walikuwa wapo sahihi katika hili wala sina haja ya kulielezea.

4. Mwanamke asimiliki Mali.
Na mambo mengine Kama hayo mnaweza kuongezea.

5. Ukabila.
Wazee wa zamani walikuwa Wakabila, hawakutaka mambo ya sijui Mpare aoane na Mnyamwezi, sijui mnyamwezi aoane na Mkwere.

Walikuwa wanasema, wewe ni mjaluo unaoa Mluguru kwani Wajaluo hakuna wanawake, au kiherehere tu.

Wakaja wanaojifanya wenye akili wakasema ooh! Sio vizuri, blah blah blah! Sasa mpaka kufikia hapa Ngoma ngumu, kila kitu kimevurugika alafu elimu ya kikoloni Kwa vile ni gundi yenye kupofusha wasomi hata hawaoni chanzo ya mmomonyoko wa maadili ni nini na kuanguka Kwa familia ambayo ndio nguzo kuu ya jamii na taifa.

Taikon ninaamini kuwa kila kabila lilipaswa kuwa taifa. Lakini Kwa vile muda wa Jambo hili kueleweka haujafika ngoja tusubiri. Huwezi kuunganisha vitu visivyofanana wewe. Vitaungana Kwa muda kisha nature itavitenganisha tuu mwishowe ili kila kitu kirudi na kukaa mahali pale.

Miaka hamsini ijayo Kila kitu kitakuwa bayana,
Ule msemo wa Mkubwa hakosea utakuwa dhahiri kabisa.
Kizazi cha sasa kitakiri kuwa kilipotea Njia.

Ukosefu wa Ajira
Ongezeko la single mother
Anguka la ndoa
Ukosefu wa uzalendo,
Mmomonyoko wa maadili
Kuzuka Kwa tabia zinazotia kinyaa Kama ushoga,
Utapeli uliohalalishwa(dhulna) n.

Nipumzike sasa!

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Dar es salaam
Article nzuri sana, yenye kufundisha sana, pia inahuzunisha.

Nielezee tu kirahisi. Elimu ya jando ilimwezesha kijana muhitimu kujenga nyumba yake mwenyewe, kutunza familia yake na kuzalisha mali. Elimu ya kigeni imeshindwa
 
Mtumishi mmoja kanisani kwetu juzi namwambia alhamisi nitakuwa safari Arusha kwenye arobaini ya mkwe wangu,dah alianza kunichamba ohoo unaenda kwenye ibada zaa sanamu mwisho wa siku nikaona ananizingua tu bora niachane nae
Mpuuzi huyo
 
Nawasubiri wafuasi wa wazungu waje wakubishie kwa vihoja 😂😂😂
 
Kwa hio mkuu unamaanisha kwamba wazee walibariki hawa wanawake kutembea wakiwa uchi watupu mchana kweupe yaan tena hata chupi hawavai,? Tena siku hizi hua wanapanda boda boda wakiwa uuuchi kabisa watupuuu, ukiwa barabarani ikipita boda unawaona wamekatiza wapo uuuuchi, wazee waliacha vibari kwenye hili?
 
Tabia yetu ya kumpambania mtoto wa kike kielimu na Haki sawa imeigharimu kizazi cha sasa.

Mwanamke kuwa msomi, kumiliki mali/mshahara mkubwa, Kuwa na Biashara zinazowaingizia kipato. Haya mambo yanasababisha Mke kujiweza kiuchumi na kutaka kuwa juu ya utawala wa mume na kupelekea wanawake wengi kuishia kuwa Singo Mother tu.
Ukweli mtupu na ili atulie au awe na heshima angalau ya unafik ni hadi apate mwanaume anayemzidi fedha na mali.
 
Back
Top Bottom