Mambo ambayo wengi wanapenda lakini wewe wala hayakuvutii, unawashangaa tu

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Kichwa cha habari chahusika
kwangu mimi
1. Mwanamke kuvaa wigi
2. kupenda wanawake wenye makalio makubwa
3. Kushabikia timu za ulaya mpaka watu wanauana wakati haitatokea hata kwa bahati mbaya kumuona mchezaji wa timu hiyo kwa macho zaidi ya TV
4. Kuwa na matumaini kuwa Yanga ataifunga Azam kwa hali iliyopo
5.........................
6..........................
 
Hii ni kuingilia uhuru wa watu si lazima tupende unachokipenda mkuu ndiyo maana wewe ni wewe na yeye ni yeye. Wewe mwenyewe kuna vitu unapenda lakini wengine hawapendi.
 
aisee cpendii mpira

yanii mtu hadi anajinyongaa
[emoji23][emoji23][emoji23] use....ge kama huo cwez
 
Kufatilia nani kafanya nini huko IG kuna watu wanapenda wakikosa wanaugua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…