Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila sekunde iendayo kuna at least jambo jipya linatokea; there is no way you can mention all of them; too many! By the way hata waliolatiwa sio watoto tena ni watu wazima; sijui watajisikiaje? JK sio rais tena, sijui naye anajisikiaje?
Uchochezi mkuu!Anjela Kairuki yuko madini na ana mtoto wa taifa
Nashangaa mpaka sasa hivi hajatiwa nguvuni!Uchochezi mkuu!
mkuu hebu iboldUmiliki wa kiwanda cha Cherehani.
9. Aliyewatoa ndani ndio aliyeuza nyumba za serikali mpaka kwa mchepuko wake Sundi.1.Smartphones
1.WhatsApp
2. Twitter
3.Facebook
4.Jamii Forums
5.Instagram
6.Daraja la Kigamboni
7.Mwendokasi
8.Mikoa ya .
Simiyu
-Katavi
-Njombe
-Songwe
-Geita
Mbowe wanafahamu kuwa bado mwenyekiti wa Chadema.
9. Aliyewatoa ndani ndio aliyeuza nyumba za serikali mpaka kwa mchepuko wake Sundi.
10. Aliyewaachia ndio alinunua kivuko kibovu kwa mamilioni ya kodi za watz na kulikabidhi jeshini ili kusihojiwe kama vifaru vyao.
11. Bomber dia ipomikononi mwa wadai wa taifa.
12. Wezi waliitwa WANAUME, na bado wakaa meza moja na walioibiwa.
13. Font fodi anachimba ”mtaro wa bashite” na kufuturu ”kisamvu” chote mwenyewe.
14. Michango ya rambirambi na maafa inatafunwa bila huruma.
16. Mama janet alidabuliwa vitasa mpaka akalazwa MOi
17.

Yani kwamba sio kila anayefunga anasubiri mwezi mtukufu.Hiyo ya kumi na tatu sijaielewa vizuri mkuu.Hebu fafanua vizuri maana habari za kufuturu bila mwezi mtukufu zimekujaje hapo.
Aisee 13 Imenidindisha.9. Aliyewatoa ndani ndio aliyeuza nyumba za serikali mpaka kwa mchepuko wake Sundi.
10. Aliyewaachia ndio alinunua kivuko kibovu kwa mamilioni ya kodi za watz na kulikabidhi jeshini ili kusihojiwe kama vifaru vyao.
11. Bomber dia ipomikononi mwa wadai wa taifa.
12. Wezi waliitwa WANAUME, na bado wakaa meza moja na walioibiwa.
13. Font fodi anachimba ”mtaro wa bashite” na kufuturu ”kisamvu” chote mwenyewe.
14. Michango ya rambirambi na maafa inatafunwa bila huruma.
16. Mama janet alidabuliwa vitasa mpaka akalazwa MOi
17. Taifa lilipata kiongozi "aliyesukumiziwa"
18. Bandarini panaokotwa vitu visivyokuwa na wamiliki.
Yani kwamba sio kila anayefunga anasubiri mwezi mtukufu.