Mambo ambayo yametokea Baada ya Babu kufungwa

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
1.Smartphones
1.WhatsApp
2. Twitter
3.Facebook
4.Jamii Forums
5.Instagram
6.Daraja la Kigamboni
7.Mwendokasi
8.Mikoa ya .
Simiyu
-Katavi
-Njombe
-Songwe
-Geita

Mbowe wanafahamu kuwa bado mwenyekiti wa Chadema.
 
Kila sekunde iendayo kuna at least jambo jipya linatokea; there is no way you can mention all of them; too many! By the way hata waliolawitiwa sio watoto tena ni watu wazima; sijui watajisikiaje? JK sio rais tena, sijui naye anajisikiaje?

Magamba na Dr. Slaa walipinga sana haiwezekani kumwachia mfungwa wa kosa la ulawiti, leo wameachiwa halafu wanashangilia sana! Too stupid.
 
Kila sekunde iendayo kuna at least jambo jipya linatokea; there is no way you can mention all of them; too many! By the way hata waliolatiwa sio watoto tena ni watu wazima; sijui watajisikiaje? JK sio rais tena, sijui naye anajisikiaje?

Na hasa kama walitengenezwa sjui wanajiskiaje. Ila kwenye ukweli uongo hujitenga tu ni suala la muda tu.
 
Cha ajabu zaidi mpaka Sasa Arsene Wenger bado ni kocha Wa Timu ninayoipenda jamaniiih...[emoji17]
 
1.Smartphones
1.WhatsApp
2. Twitter
3.Facebook
4.Jamii Forums
5.Instagram
6.Daraja la Kigamboni
7.Mwendokasi
8.Mikoa ya .
Simiyu
-Katavi
-Njombe
-Songwe
-Geita

Mbowe wanafahamu kuwa bado mwenyekiti wa Chadema.
9. Aliyewatoa ndani ndio aliyeuza nyumba za serikali mpaka kwa mchepuko wake Sundi.
10. Aliyewaachia ndio alinunua kivuko kibovu kwa mamilioni ya kodi za watz na kulikabidhi jeshini ili kusihojiwe kama vifaru vyao.
11. Bomber dia ipomikononi mwa wadai wa taifa.
12. Wezi waliitwa WANAUME, na bado wakaa meza moja na walioibiwa.
13. Font fodi anachimba ”mtaro wa bashite” na kufuturu ”kisamvu” chote mwenyewe.
14. Michango ya rambirambi na maafa inatafunwa bila huruma.
16. Mama janet alidabuliwa vitasa mpaka akalazwa MOi
17. Taifa lilipata kiongozi "aliyesukumiziwa"
18. Bandarini panaokotwa vitu visivyokuwa na wamiliki.
 

Hiyo ya kumi na tatu sijaielewa vizuri mkuu.Hebu fafanua vizuri maana habari za kufuturu bila mwezi mtukufu zimekujaje hapo.
 

Hiyo ya kumi na tatu sijaielewa vizuri mkuu.Hebu fafanua vizuri maana habari za kufuturu bila mwezi mtukufu zimekujaje hapo.
 
Aisee 13 Imenidindisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…