Mambo ambayo yametokea Baada ya Babu kufungwa

Na mtu mwenye swaumu anawezaje kuchimba mtaro mkubwa?
Kwasababu anakuwa na njaa sana, na chakula anachoandaliwa na mkewe kinakuwa hakimtoshi, hivyo anafanya maamuzi ya kuchimba mitaro.
 
Hivi kwani magereza hakuna habari??
Kupata habari ni haki ya kila mtu...
Huwa wanasoma magazeti jamani
 
ndege zetu zikishikiliwa na watu kulipwa pesa ya makanikia pamoja na mabilioni ya dr shka 900 kupendeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…