Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Mosi, usiruhusu mtu yoyote yule kukusikia ukilalamika,hisia zako si chochote kwa watu wengine,kwa maana nyingine watu hawapo interested kusikia matatizo yako
Pili,kubali ukweli pale unapokosea kwani hakuna mkamilifu,hii itakujengea heshima zaidi na utaonekana unawajibika kwa makosa yako
Tatu,hakikisha unadhibiti hisia zako au hasira zako,kwani hisia zako hazitakufanya ufanye maamuzi sahihi,ndio maana inashauriwa usifanye maamuzi ukiwa na hasira
Ni hayo tu!