Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Hiyo iko wazi boss,ni malegend tu wanajua maisha ni zaidi ya pesaVijana wa buku mbili watakuja kukuambia tafuta pesa , hakuna heshima bila pesa kwa kudunia ya sasa yenye mahitaji lukuki🤔🤔
AFANDE najua nyie mkishabeba virungu mnatucharaza tu, tunawaheshimu sana. Japo mnatuomba sana hela.Vijana wa buku mbili watakuja kukuambia tafuta pesa , hakuna heshima bila pesa kwa kudunia ya sasa yenye mahitaji lukuki🤔🤔
Kabisa, halafu ni vile hawajui tu , pesa wala hazitafutwi 🤔Hiyo iko wazi boss,ni malegend tu wanajua maisha ni zaidi ya pesa
😂😂 mbona umeniita afande?AFANDE najua nyie mkishabeba virungu mnatucharaza tu, tunawaheshimu sana. Japo mnatuomba sana hela.
Lakini kweli,hii huwezi kujuwa kama hujapata hela.Hiyo iko wazi boss,ni malegend tu wanajua maisha ni zaidi ya pesa
Wakikuuliza utazipataje utasemaje legend mwenzangu😂😂Kabisa, halafu ni vile hawajui tu , pesa wala hazitafutwi 🤔
Pesa ni muhimu lkn haitatui shida zote,mfano Bartasar wa Guinea heshima yake haitarudishwa kwa pesaLakini kweli,hii huwezi kujuwa kama hujapata hela.
Hata ukiwa kama ulivyosema kwenye uzi wako kuna namna tu pesa zitakutafuta na sio wewe kuzitafuta🤔Wakikuuliza utazipate utasemaje legend mwenzangu😂😂
Maadamu hili kauli inatoka kwa legend imeisha hiyoHata ukiwa kama ulivyosema kwenye uzi wako kuna namna tu pesa zitakutafuta na sio wewe kuzitafuta🤔
Hahaha.Vijana wa buku mbili watakuja kukuambia tafuta pesa , hakuna heshima bila pesa kwa kudunia ya sasa yenye mahitaji lukuki🤔🤔
Njaa tu zinafanya tuone hivyo mkuu😂Hahaha.
Pesa ina heshima ni kweli ila wakati mwengine heshima ya kinafiki, uchawa.
Anhaha kwani umeacha kazi GESHI RA PORISHI?😂😂 mbona umeniita afande?
Kama maji ya mto yanayotembea we ukijua yanapopita unatulia yatakufata yenyeweHata ukiwa kama ulivyosema kwenye uzi wako kuna namna tu pesa zitakutafuta na sio wewe kuzitafuta🤔
Upo sahihi mkuu, ili uheshimike na kuyaenjoy maisha, unahitajika kua mwanadiplomasia zaidi kuliko kutumia hisia/mihemko zaidi.Mosi, usiruhusu mtu yoyote yule kukusikia ukilalamika,hisia zako si chochote kwa watu wengine,kwa maana nyingine watu hawapo interested kusikia matatizo yako
View attachment 3147945
Pili,kubali ukweli pale unapokosea kwani hakuna mkamilifu,hii itakujengea heshima zaidi na utaonekana unawajibika kwa makosa yako
Tatu,hakikisha unadhibiti hisia zako au hasira zako,kwani hisia zako hazitakufanya ufanye maamuzi sahihi,ndio maana inashauriwa usifanye maamuzi ukiwa na hasira
Ni hayo tu!