Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

Yeah, kwa baadhi ya mambo lakini siyo yote! Sasa kama hilo la kutomwamini mkeo, hilo ni fundisho la wapi? Unataka umwamini nani zaidi ya mkeo? Katika maisha mtu unayeishi naye muda mrefu zaidi ni mke au mme!
Kutokumuamini mkeo ni kujiandaa kisaikolojia hasa pale atakapoamua kukugeuka kwani chanzo cha uadui huwa ni urafiki na uaminifu.
 
Kutokumuamini mkeo ni kujiandaa kisaikolojia hasa pale atakapoamua kukugeuka kwani chanzo cha uadui huwa ni urafiki na uaminifu.
Kama kuna kuthaminiana ndani ya nyumba kugeukwa kunatoka wapi? Migongano mingi inatokana na kudharauliana!
 
Pesa ndiyo silaha Tosha.

Ukiwa nazo 99% ya njia za kifo zilizotajwa hapo juu zitakua solved.
 
Kama kuna kuthaminiana ndani ya nyumba kugeukwa kunatoka wapi? Migongano mingi inatokana na kudharauliana!
kumbuka ili muweze kukubaliana bado mwanaume anapaswa amzidi mambo matatu mwanamke.elimu mali na umri. Tofauti na hapo haipo na haitokuwepo.
 
kumbuka ili muweze kukubaliana bado mwanaume anapaswa amzidi mambo matatu mwanamke.elimu mali na umri. Tofauti na hapo haipo na haitokuwepo.
Hapo ndipo mgogoro unapoanzia! U-mimi yaani ubinafsi. Hapo kwenye mali kawaida mnapoamua kuoana hicho unachosema mali hakiwi chako binafsi bali kinakuwa chenu!
 
Thanks for Bible
 
YOote hayo mwisho wake utakufa tu.

Anyway usiwe shabiki kupindukia,kuwa na kiasi.
 
Ingawa nimechelewa kuiona hii thread ila umeongea fact tupu

Mimi kwenye life yangu huwa sisomeki na nikijua umeanza kunisoma codes zangu
Basi lazima ntakuchanganya tu!
 
Nzuri sana hii hasa kwa wanasiasa, wafanyakazi na wajasiriamali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…