Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

Mkuu Kuna watu watakupuuza ila the truth has been spoken.
 
Tupe habari tujifunze mkuu...
Duniani tunaish si kwa uwezo wetu bali Mungu mwenyewe..

Ila maarifa yatakuhifadhi
Namna zote za sisi binadamu kujilinda zina dosari kadha wa kadha ambazo watu wenye hila wanaweza kuzitumia kutudhuru lakini sio kulindwa na Yesu my friend.
Kulindwa na Yesu ni kwa kutumainiwa Kwa 100%. Mfano,Kuna watu wamepambana sana kutaka kuniua lakini baadhi yao wakiwa kwenye hizo HARAKATI za kutaka kuniua wamekufa wao. List ni ndefu!

Kwa kifupi naishi hapa duniani nikiwa na kiwango sifuri cha hofu ya kufa kabla ya wakati ambao Mungu atataka kunipumzisha. Nina bima ya 100%(Yesu ni NGAO yangu)🙏
 
Mkuu mifano ni mingi mno...
Hasa kwa wapambanaji walioanza kujipata..
Ajali, pressure, stroke, hiv, heart attack, poisoning, murder zote hizo ni mambo za kuondoa vijana mapema kwel?
Some spiritual being isnt right.
Vyote hivyo vinaweza mkuta hata yule anayeaminika amekufa muda muafaka kwa hayo hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…