Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

Huwezi kuepuka kifo mkuu ,Kila mtu anapokufa ni mipango ya mwenyezi ndugu,hata maraisi wenye madokta wao na uangalizi special Huwa wanakufa,Kuna mtu mmja alipata Ngoma 1990 jirani yetu aliambukizwa na mume wake basi huyo mama aliishi miaka 35 mbele na hapo kati kati walikufa watu wengi walikuwa wanadhami huyo mwathirika ndiye angetangulia.ukiishi dunia ni fanya mema,fanya ibada.utakufa ni kanini ya maisha ,unaweza ukafa umelala kitandani,unaweza ukafa kwa sumu ya nyoka,utakufa kwa sababu yoyote Ile hata kama huumwi,Mungu ana hesabu ya siku za Kila mtu ndugu.kuna mtu nilimfahamu alizingatia dieting sana hali hata nyama ,hanywi pombe aliugua akafa,Kuna walevi wanakunywa gonga na pombe za kienyeji wanadunda tuu,Kila siku wapo wakinywa pombe lakini hawafi Wala kuugua presha Wala Figo ,ila siku ikifika wanakufa
 

Asante sana kwa ku-share maarifa haya mazuri.
Ubarikiwe zaidi.
🙏🙏😇
 
Ila maisha ya binadamu bana ni ya kifala sana. Ndio maana baadhi ya watu wanakua na mashaka kama kweli kuna Mungu na anatupenda.

Just imagine mtu umezaliwa familia masikini, huna mbele wala nyuma. Utoto wako wote umeishi maisha ya shida na kupambana, umesoma kwa shida, kula ya shida, umevaa sana viraka! Umetaabika mpaka umekua mtu mzima.

Hamad! Umekamata "channel" ya pesa, mambo yamekunyookea! Unataka sasa ukae utulie angalau na wewe ufaidi japo kwa uchache vile vitu vyote ulivyovikosa tangu utotoni.

Unaanza kuambiwa eti:
  • usile mbuzi choma
  • usile chipsi, ndizi roast, wali, pizza, burger
  • usile kabisa kitimoto!
  • usinywe bia, wine, wala pombe yoyote
  • usinywe kabisa soda wala kitu chochote chenye sukari
  • hata mbususu basi angalau, eti nayo hapana usiguse!!!

Yaani kifupi, usile kitu chochote KITAMU! Wewe unatakiwa eti uendelee kula mchicha wa kuchemsha na matembele maisha yote! JAMANI !!

Sasa ndio mambo gani? Yaani mtu usipumue, usijipe kitu roho inapenda?

Aah hii kwakweli inaboa sana.

Mbaya zaidi sasa, sio kwamba usipokula vitu vyote hivyo ndio utaishi milele LA HASHA! Bado utadedi tuu tena unaweza kujikuta unawaacha wale wanaopiga pombe na kitimoto deile we unatangulia!

Sasa sio ufala huo ni nini..?
 
Kuna sehemu umesema "usipokee simu kwa wakati" acha ikatike halafu piga baadae... what if hiyo simu ni notification ya kukuepusha na hatari?
Yes point zako nyingi zina mashiko lakini Nyingine zinahitaji discussion zaidi
 
Hapo pa usiwe na mwanamke mmoja wakware wamepapenda balaa 🤣🤣🤣🤣

Tunasubiri mantiki ya kusema hivyo maana kama kwamba ina ukakasi fulani hivi.

A
 
Inategemea purpose yako hapa duniani ni nini.
 
Mengi ni sahihi ila utakuwa mbali na jamii na unaweza tengwa vile vile unless uwe na kipato.

Lakini pia jamii itakuona una majivuno na utakuwa mpweke mda mwingi.

Kimsingi inahitaji watu ambao wako dedicated sana vinginevyo mengi ni impractical
 
Huwa nazingatia mengi kati ya hayo

Ila Kulala masaa 8 ni mengi mno
Me Huwa nalala masaa 4 au 5 tu Kwa siku

Kwenye maisha usiwe maadui wengi na marafiki wengi

Il umeandika vyema
 
Point point
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…