Mambo arobaini 40 yatakayokuepusha na Kifo cha mapema ndugu mpambanaji mwenzangu

45. Kama umepanga hakikisha wapangaji wenzio hawajui unafanya kazi gani na wapi. Wakilazimisha sana kujua wadanganye. Labda iwe ni zile kazi common za michoro kama boda boda, fundi simu, kuuza genge nk. Hii nitaeleza kwa kina baadae.
 
Umepiga punchline nyingi sana humo! Sema pale uliposema jitahidi usiwe na demu mmoja (point no 11) sababu ni nini?
Hata mimi hii pointi imenifikirisha sana ila nadhani alichokusudia hapo ni kwamba ufanye hivyo ili usizoeleke sana na mwanamke mmoja,ukizoeleka sana na mwanamke mmoja atakuchimba kiundani na kujua siri zako kwa hiyo anaweza kutumika na maadui zako kukuangamiza kirahisi kupitia yeye.
Mambo mengi aliyoongea jamaa ndio lifestyle yangu kasoro ya kula na mazoezi ndio hesabu zake zinanishindaga.
 
ALL IN ALL, naomba kipimo kinachotumika kujua kwamba fulani kafa mapema, kafa muda muafaka au kachelewa sana kufa..!!
Swali gumu sana.
Ila kwa haraka haraka kama life expectancy ya Mtanzania ni miaka 55 so mtu akifa na miaka 45 tutaassume amekufa mapema japo hatujui siri ya Mungu kwamba alimpangia kuishi miaka mingapi.
 
Hapo kwenye usipande boda boda mara nyingi wengine hii ndio kazi yetu ya kupata chochote na kusukuma maisha sasa hapa sijui tunafanyaje, any way wengine life limeshatupiga labda tukikata moto mapema huko mbele tutakutana na mishe nyingine za maana
Kama wewe ni bodaboda inabidi uendeshe kwa tahadhari na ufuate sheria za barabarani
Hapo uliposema usifanye biashara na watu uliowazidi sana uwezo,kuna walakini,mbona Baresa anafanya biashara na watu wa chini kabisa mtaani,ie wauza ukwaju,juisi nk?
Bakhresa sio yeye anayefanya biashara ni wawakilishi wake ndio wanaofanya na hao wauza ukwaju kwa hiyo hata wakimchukia hawana njia ya kumpata moja kwa moja
 
Issue ni kwamba mapenzi nayo Yana gharama zake
 
Issue ni kwamba mapenzi nayo Yana gharama zake
Ndio mapenzi yana gharama zake ila inategemea umeyaseti vipi.
Kwa mfano mimi naweza nikawa nina wanawake watatu lakini nikawa nimejiegesha tu sihusiki na kulipia kodi zao za nyumba,sihusiki kulipia ada watoto wao,nahusika tukikutana kwenye starehe tu.
Halafu wewe upande wako uwe na mwanamke mmoja ambaye amekuganda umlipie matumizi yake yote,ulipie kodi ya nyumba,ulipie ada watoto wake,wakiumwa uwatibie,akienda ukweni umsafirishe je ni nani analipa gharama kubwa kati yangu na wewe?
 
41.Usitembee na mkewamtu narudia tena usitembe na mke wa mtu.
43.Usijifanye we wamuhimu Sana kwenye Office yoyote iwe ya Uma ama Serikalini.Replacement yako ni chap ukifa ama Kufukuzia.
44.Epuka kutazama video za Ngono zitakuua Akili na Nguvu.Sema No Porn no addicted.
45.Hakikisha unajiwekeza Kwa ajili ya uzee bila kujali yajayo mbeleni kwako
 
Obviously mi ndo ntakua natoa parefu! Sema hapo kwenye issues za gharama katika mahusiano inategemea na nature ya wanaodate
 
#Good
 
Usilombe wanafunzi
 
Nimeondoka na namba 40 aisee. Biashara nyingi nilizofanya na vijana wameniangusha .vijana wana tamaa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…