Mambo au vitu hatari ambavyo madhara yake hujitokeza baadaye baada ya muda mrefu

Mambo au vitu hatari ambavyo madhara yake hujitokeza baadaye baada ya muda mrefu

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Pombe hasa zile kali sana
Sigara (kwa ma chain smoker)
kutoa mbegu kwa mkono (punyeto)
chipsi zege na broilers
X (video za ku...)
Bangi na hasa kama hunywi maji
Kujiachia bila kuwa na malengo mpaka ukanenepa ovyo
 
Ufafanuzi tafadhari kwa kila ulicho kitaja madhara yapi kwa mda upi na kwa kiwango kipi ikiwezekana na njia za kuepuka
 
Pombe hasa zile kali sana
Sigara (kwa ma chain smoker)
kutoa mbegu kwa mkono (punyeto)
chipsi zege na broilers
X (video za ku...)
Bangi na hasa kama hunywi maji
Kujiachia bila kuwa na malengo mpaka ukanenepa ovyo

Hapo kwenye bangi,,,usipokuwa mnywa maji mengi,,inaleta madhara gani??!!! Tuelimishane
 
Back
Top Bottom