CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,296
- 12,972
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana
Hizo txt za malalamiko ya kijinga nani anaependa?
heh.!kumbe upo..
Hapa inabidi wanaume wafunguke zaidi.
Au sio.kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana
fungukeni fungukeni ili tufahamu,make wkt mwngne mtu huwa anafanya kitu au jambo flan akihisi yuko sawa kumbe mwakereka afu hamsemi. ila mkifunguka twajirekebsha.
kwanini usingemuuliza mtu wako, ingekua powa sana maana humu utaambiwa na anavyovipenda huyo wako..
me wangu ni mgumu kusema kuwa hapo umekosea mara nyinngi hunyamaza tu. sa ni bora nikapata highlight hapa cos tabia nyingi za wanaume hufanana!
dah mwanaume unayekosea na ye akanyamaza asikwambie kitu... There is smthng wrong