Junior. Cux
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 5,319
- 3,786
Nashukuru coz umenipa mwanga, kumbe kutopenda kuulizwa ni sababu mtu nakauwa hajakupenda eeehhh?asante mwaya coz nimejifunza kitu....so now ntakuwa kimyaaaa kama vile sio mimi vile, ila ndo inabidi kuwa na kidumu na kuishin kisanii zaidi hahahaha
1.kupiga simu usiku baada yakumaliza kuongea.. eti kutaka kupprove kama hatokuta waitting call
2. kunibishia hata nkimwambia yamsingi
3. kuniambia umbea
4. kujaza wanaume kwenye phonebook yake au facebook friends wake
5. kupiga mitoko bila kuniaga
6. kuvaa kiajabuajabu
7. KUNIDANGANYA
wanawake wamezaliwa na gubu, wivu, roho mbaya na kisirani
kama hupendi kuulizwa zaa mwanamke wako au ishi mwenyewe.....wanaume bwana
We mrembo hata ubishe the truth will remain there....
Hakuna mwanaume anayependa kuulizwa maswali yasiyona msingi km aliyomention Charminggirl....
Wengi wameachwa bila kujua sababu ila sababu ndio hiyo. Inaboaga sana.
Binafsi huwa sijibu maswali ya kijinga km hayo..hutaki achana na mimi
Best Cartura nshakutana na mijitu ya namna hii...., unajua kama hupendi kuulizwa then uwe unamjulisha wewe kwamba muda huu naenda hapa, nikitoka hapa ntapitia hapa, then ntamalizia hapa!!
Afadhali huyo aulizaye uko na nani?mpe niongee naye, mi nishawahi kuambiwa nipigepige kitanda kando yangu kwa nguvu hadi asikie kwa simu ndo ajue niko peke yangu.
Mhh haya bwana hawa ndo wanaume wa karne ya 25 , nimekubali na ninahisi inabidi nicheze kwa kufuata mdundo wa mziki la sivyo itakula kwangu, ila wanaume mbadilike coz vimeo ndo vinafanya muwe hivi......
Mi sipendi wanawake wanavyopoteza muda bila sababu ya msingi.
Wiki nzima unamuambia ajiandae mtaenda kwe party sehemu fulani muda wa saa kumi.
Ikifika hiyo saa kumi ndio anaanza kwenda sokoni kununua maharage, na hapo ni lazima uende nae partyini, ukimuacha panachimbika.