CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Alishindwa yeye na si mwingine. Shida zenu kashindwa fulani basi wote tutashindwa tu make fulani kashindwa.Kwahiyo hutaki tuseme walioshindwa?!
Watu tunaendelea na biashara zetu tukiwa tumeajiriwa.Alishindwa yeye na si mwingine. Shida zenu kashindwa fulani basi wote tutashindwa tu make fulani kashindwa.
Na swala la mafanikio sio swala la leo.l na kesho some time hata huchukua 15 years na zaidi ya hapo.
Mnataka.kaacha jana basi aanze kuendesha V8 yake. sio hivyo kuna kazi ngumu sana.
sema unajishughurisha na biashara ukiwa umeajiriwa. Kujishughuliasha ni tofauti na kuwa Mfanya biashara.Watu tunaendelea na biashara zetu tukiwa tumeajiriwa.
Simshauri mtu yeyote aache kazi kwa maneno ya kuckia kwa watu kama nyie
Sio tatizo kuwa katika hali mbaya kwani inakupa akili mpya.Jamani msiache kazi bila kuwa na kazi.
Nina shemeji yangu aliacha kazi miaka 4 iliyopita kwa kusikiliza haya mambo ya kilimo kinalipa sasa hivi yupo katika hali mbaya sn kimaisha
Pambana hali yakoKuacha kazi ni swala la kibinafisi. Shida yenu mmeisha aminishwa kwamba no Job no Life.
Kwamba maisha yako kwenye kuajiriwa. Mbona sisi tumejiajiri na maisha yanaenda na tunapambana kufa na kupona?
Acha kuogopesha watu.
Kama unajua wapo waliofaulu baada ya kuacha kazi unatakiwa kutambua pia wapo ambao mambo yamewabumia baada ya kuacha kazAlishindwa yeye na si mwingine. Shida zenu kashindwa fulani basi wote tutashindwa tu make fulani kashindwa.
Na swala la mafanikio sio swala la leo.l na kesho some time hata huchukua 15 years na zaidi ya hapo.
Mnataka.kaacha jana basi aanze kuendesha V8 yake. sio hivyo kuna kazi ngumu sana.
Watu mnatawaliwa na FEAR OF UNKNOWN.Kama unajua wapo waliofaulu baada ya kuacha kazi unatakiwa kutambua pia wapo ambao mambo yamewabumia baada ya kuacha kaz
OkWatu mnatawaliwa na FEAR OF UNKNOWN.
Watu mna hofu ya kisicho kuwepo hiyo ndo shida kubwa
Ndg yangu, narejea taarifa yako.Napenda kujua ni mambo gani mtu anapaswa kufanya kabla ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake? Kwa mtu anayetegemea kujiingiza katika ujasiriamali au biashara, afanye nini?
Inategemea na mtu anafanya Kazi gani na wapi, but kujitegemea is the best solution. Hakuna kustaafu mpaka nguvu zitakapoisha. Biashara za kutumia remote haziendi mbali hasara tupuAcha kaz
Uone kazi
Kupata kazi
Usidanganywe na motivational speakers wa kibongo ambao 88% wameajiliwa.
Hakikisha una uwezo wa kula na kulala100% kwa muda usiopungua miezi 8. mengine yatakuja mbele ya safari.Napenda kujua ni mambo gani mtu anapaswa kufanya kabla ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri wake? Kwa mtu anayetegemea kujiingiza katika ujasiriamali au biashara, afanye nini?
Ni kweli mkuu zamani ilikuwa unasoma ili upate ajira lakini sasa hivi mambo yamebadilika unasoma ili uwe na uwezo wa kujiajiri mwenyewe na ulimwengu wa sasa ndio upo hivyoKuacha kazi ni swala la kibinafisi. Shida yenu mmeisha aminishwa kwamba no Job no Life.
Kwamba maisha yako kwenye kuajiriwa. Mbona sisi tumejiajiri na maisha yanaenda na tunapambana kufa na kupona?
Acha kuogopesha watu.
Kama wewe ni mwanaume hutakuja ufanikiwe maishani ukiendelea kuwa na hiyo perception.Acha kaz
Uone kazi
Kupata kazi
Usidanganywe na motivational speakers wa kibongo ambao 88% wameajiliwa.
Hata biblia inasema asiyefanyakazi na asile, haisemi asieajiliwa(kijakazi).Watu mnatawaliwa na FEAR OF UNKNOWN.
Watu mna hofu ya kisicho kuwepo hiyo ndo shida kubwa
AiseeHata biblia inasema asiyefanyakazi na asile, haisemi asieajiliwa(kijakazi).
Sasa mtu anasema anaacha kaxi anakuwa na maana gani? Anatakiwa aseme anabadili Kazi afanye nyingine. Ukiacha kaxi laxima ufe njaa.
Issue ni kutafuta kaxi inayokidhi mahitaji yako aidha iwe ya kwako au ukapige kibarua.
Kwa dhana ya kaxi watu wengi hawaelewi mi naona wanaamini kuajiriwa ndo kaxi, kumbe hata mlima viaxi kule njombe naye anakazi pia.
Bwana chasha hapa unaweza Maliza wino lakini watu wanakitu vichwani mwao kimewakaba hawatakuelewa.
Ukimwona mtu anafail na kukata tamaa baada ya kuacha kaxi huyo hajui alichokuwa anakitafuta.
Basic needs ni food,shelter na nguo basi.