Mambo gani muhimu niyafanye pale ninaponunua gari kwenye yard kabla ya kuanza safari?

Landcruser

Senior Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
179
Reaction score
344
Wakuu amani kwenu.

Kama kichwa kinavyojieleza nisaidieni vitu vya msingi ambavyo ni lazima nivifanye mara tu baada ya kununua gari yard.

Karibu sana wataalamu wote akiwemo RRONDO&Mkuu Jr.

Asanteni sana.
 
Kama kichwa kinavyojieleza nisaidieni vitu vya msingi ambavyo ni lazima nivifanye mara tu baada ya kununua gari yard.
1. Tairi - Hakikisha unabadili, Maana huwa ni za muda mrefu, hivyo zitahatarisha maisha yako

2. Brake pads - Hakikisha zinakaguliwa, Iwapo zimeisha weka mpya,

3. Weka engine oil na hakiki uwepo wa coolant kwa level inayotakiwa.
 
Asante sana mwl
 
Aaaahh mkuu hayupo huyo.
Hahaha basi mkuu hapo upo sawa.
Mara nyingi gari za yard zinakua zimekaa sana yard na zinakua na kutu, ni vyema kupiga pressure chini ya gar na kusafisha engine na dawa ya anti rust kutoa hizo kutu za yard na banadari.
 
Pia kuna kupiga ribit sehem delicate kwenye gari, gari ambazo zikiendeshwa kwenye condtion za barabara zetu lazima unakuta wheel cap imeanguka, lakini pia ribit zinasaidia kupunguza wizi wa vifaa vya gari, hii ni pamoja na kuchora vioo, kuna kufanya alignment na wheel balance, vingne nikikumbuka ntaandika
 
Safi sana mkuu. Shusha nondo zaidi.
 
Back
Top Bottom