Landcruser
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 179
- 344
1. Tairi - Hakikisha unabadili, Maana huwa ni za muda mrefu, hivyo zitahatarisha maisha yakoKama kichwa kinavyojieleza nisaidieni vitu vya msingi ambavyo ni lazima nivifanye mara tu baada ya kununua gari yard.
Asante sana mwl1. Tairi - Hakikisha unabadili, Maana huwa ni za muda mrefu, hivyo zitahatarisha maisha yako
2. Brake pads - Hakikisha zinakaguliwa, Iwapo zimeisha weka mpya,
3. Weka engine oil na hakiki uwepo wa coolant kwa level inayotakiwa.
Aaaahh mkuu hayupo huyo.Mpigie simu demu mkaliii aliekusumbua zamani alaf anza kuelekea huko aliko na gari lako.
Tayari nshatubu church muda mfupi umepita. Mwambie mhusika mkuu akatubu.Liweke mafuta.. Halafu ukatubu
Hahaha basi mkuu hapo upo sawa.Aaaahh mkuu hayupo huyo.
Asante sana kwa mchango wako mkuu.Hahaha basi mkuu hapo upo sawa.
Mara nyingi gari za yard zinakua zimekaa sana yard na zinakua na kutu, ni vyema kupiga pressure chini ya gar na kusafisha engine na dawa ya anti rust kutoa hizo kutu za yard na banadari.
Safi sana mkuu. Shusha nondo zaidi.Pia kuna kupiga ribit sehem delicate kwenye gari, gari ambazo zikiendeshwa kwenye condtion za barabara zetu lazima unakuta wheel cap imeanguka, lakini pia ribit zinasaidia kupunguza wizi wa vifaa vya gari, hii ni pamoja na kuchora vioo, kuna kufanya alignment na wheel balance, vingne nikikumbuka ntaandika
Ha ha ha haChukua details za gari uende ofisi za Interpol kujiridhisha kuwa gari si ya wizi. Ipo yard flan pembezon mwa barabara ya mwendokasi inasemekana ndo michezo yao