Mambo gani ulishawahi kufanya ukajutia maishani mwako?

Najutia sana kumgawia yule dem sim nilio pewa kama zawadi na dem, kumbe alikua anapicha zake za uchi kazisahau kufuta kwenye "my file". Na siku nilipo mnawa, yule akaanza kuzisambaza zile picha za yule dem alieniletea zawadi ya sim.
Hii kitu hua inaniuma sana hadi leo kmmk mbwa yule aise na huruma hata kwa mwanamke mwenzake wakati nayeye anawatoto wakike...🤨
 
Wee ni mtu badi
 
Back
Top Bottom