THE JAGGERS
JF-Expert Member
- Apr 3, 2023
- 545
- 410
me mpak hap naona huna cha kujutiaMengine ni uzembe wangu tu na human errors . Ila nachojutia Ni kuzini tu na baadhi ya ladies enzi za balehe inanipelekesha... Dah I wish I could turn back time to fix all my past mistakes
Hadi sasa bado unavuta bangi?Najutia kujifunza kunywa pombe na kuvuta bange....😭
Wee ni mtu badiNajutia sana kumgawia yule dem sim nilio pewa kama zawadi na dem, kumbe alikua anapicha zake za uchi kazisahau kufuta kwenye "my file". Na siku nilipo mnawa, yule akaanza kuzisambaza zile picha za yule dem alieniletea zawadi ya sim.
Hii kitu hua inaniuma sana hadi leo kmmk mbwa yule aise na huruma hata kwa mwanamke mwenzake wakati nayeye anawatoto wakike...🤨
Ndio mkuu, na hata waifu anajua na watoto wanajua baba akisha pombeka avuta dawa ya kifua...🤣Hadi sasa bado unavuta bangi?
Kama mimiNajutia kupoteza mda wangu kusoma...
Ningekua mvuvi bora afrika mashariki hapa...
Usije ukamruhusu mtoto wako akafanya kazi ya uvuvi wa kienyeji ama uchimbaji wa kienyejiNajutia kupoteza mda wangu kusoma...
Ningekua mvuvi bora afrika mashariki hapa...
Mkuu, ogopa sana kujichukulia sheria mkononikuanzisha mahusiano
ningeanza nyeto mapema zaidi pengine ningekuwa namiliki gari leo hii
Na wewe ulijichanganya ukasoma mkuu...Kama mimi
imeleta madhara ganiNi kuzini tu na baadhi ya ladies enzi za balehe
supp😂Kuna tukio naliona linakuja nalikwepa sana sana naogopa kujuta
naipa heshima yote nyetoMkuu, ogopa sana kujichukulia sheria mkononi
Hata wewe pia usiruhusu mtoto wako kupoteza mda kwa elimu ya bongo hii....Usije ukamruhusu mtoto wako akafanya kazi ya uvuvi wa kienyeji ama uchimbaji wa kienyeji