Naishi kwenye kijiji kilicho makao makuu ya kata sehemu ambapo kuna mji mdogo unaokua kwa kasi.
Kuna mwingiliano wa watu wa wastani lakini wakazi ni watu mchanganyiko.
Hapa kuna sherehe za mara kwa mara kwa ajili ya harusi, kapu la mama, mahafali, na vikao na mikutano midogo midogo.
Hapa hakuna ukumbi kwa ajili ya shughuli hizi.
Natamani nijenge ukumbi.
Naomba ushauri wa mambo ya kuzingatia ili kujenga ukumbi unaofaa.