Asante sana Bw. Mshana Jr.Ukubwa kulingana na mahitaji
Parking ya kutosha
Us a lama
Location
Formation iwe ya kisasa, uwe na ofisi, store, vyumba vya kupumzikia wageni, vyoo vya kutosha visafi na vya kisasa
Kuwe na bar na jiko karibu/pembeni
Wahudumu wawe rafiki na wenye ujuzi
Backup generator muhimu Nknk
Uwe na huduma zote muhimu, viti mapambo nk
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ni eneo la baridi ama la joto? Jenga kuzingatia hali ya hewaAsante sana Bw. Mshana Jr.
Umenifungua kichwa.
Naomba kufahamu unachomaanisha juu ya "Formation iwe ya kisasa". Ikoje/iweje?
Vyoo vijengwe kwa uwiano gani?
Choo moja kwa watu wangapi?
Asante sana kwa ushauri muruwa.Je ni eneo la baridi ama la joto? Jenga kuzingatia hali ya hewa
Kama ni eneo la joto hakikisha paa linaenda juu na mjengo uwe wa kuruhusu hewa ya kutosha
Kumbi za kisasa zina huduma hizi
Vyoo vya kisasa vyenye tiles, flashing systems, ventilators nk
Vyumba vya mapumziko/changing rooms
Ofisi fully furnished
Viti
Meza
Mapambo
Audio visual system
Sehemu ya chakula/jiko/vyombo
Service van
Yaani unakuwa kamili mteja akija anapata kila kitu hapo
Vyoo inategemea na ukubwa wa ukumbi lakini kwa ukumbi wa watu mia walau vyoo vitano kwa kila jinsia
Mfumo wa maji pamoja na backup yake
Sent using Jamii Forums mobile app