Mambo gani yanatakiwa ili watu, kikundi nk, kiwe ba ushirikiano mzuri/wenye ufanisi?

Mambo gani yanatakiwa ili watu, kikundi nk, kiwe ba ushirikiano mzuri/wenye ufanisi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na kikundi nk.

Inaonekana ushirikiano huleta mafanikio kirahisi na hata kiasili, binadamu ni social animal.

Mambo gani yanatakiww ili kuwa na ushirikiano wenye nguvu?

Nimesoma sehemu kuwa watu wachache wanaweza kutawala wengi sababu wanajua kushirikiana. Tabaka tawala linajua jinsi ya kushirikiana kuliko tabaka tawaliwa. Hata ikitokea utawala mbaya umepinduliwa, basi wale wataoongoza utawala mpya unakuta ni walewale waliokuwa maafida katika utawala wa zamani.

Sababu ni wanajua kujiorganize wakati wapiga kelele walioingia mtaani hawaelewi kitu juu ya kushirikiana. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.

Mambo gani yanaweza fanya watu washirikiane vizuri/kiufanisi?
 
Back
Top Bottom