Mambo gani yanawapatia pesa macelebrity?

frenderPH

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2019
Posts
621
Reaction score
817
Wana JamiiForums,

Nimewaza sana lakini nimeishia juu juu sijaenda deep sana kwa mawazo yangu.

Swali: Ninalojiuliza ni kwamba
Mtu anapata vipi pesa au anakua vipi tajiri kutokana na u-famous au kua superstar?
 
Hawa wa Bongo au wa Ulaya na USA?

Kwa wa huko majuu wanakula hela ndefu za matangazo. Wa huku black mamba ni mtihani, ila mbele za macho wanaishi maisha ya kutamanisha sana.

Shikamoo Uwoya!!!!
 
Ko wao wanakula ela za matangazo tu sana sio

Samahani kama wewe ni wa kiume epuka matumizi ya ko na x badala ya S
Kwa wenzetu matangazo ni deal mfano Christian Ronaldo kuweka tangazo Insta anakula zaidi ya milion 100 za kibongo na anayeongoza kulipwa ni selena Gomez. Wanaingiza mamilion ya dollar kupitia matangazo kwenye marketing world wanajulikana kama influencers.
 
Kibongo bongo kama vile harmorapa vile hana ishu

Mimi nakazia tu mstari wa kwanza na wa pili maana nimejiskia kichefuchefu, nakala imfikie frenderPH.
 
Back
Top Bottom