Wosia wako utakuwa halali hata kama utaacha mtoto mmoja nje kwa kuwa ndio mapenzi ya marehemu japo nadhani zipo sifa maake kama mtoto unayetaka kumuacha nje alikuwa mtegemezi kwako na hajafikia umri wa utu uzima nadhani hawezi kuachwa kwenye beneficiaries wa marehemu.
kwa hiyo umri wa mtoto utabatilisha wosia endapo hahatimiza miaka 18!? bado utata tena!
Alichokijibu halijui huyokwa hiyo umri wa mtoto utabatilisha wosia endapo hahatimiza miaka 18!? bado utata tena!
Shukrani sana kwa mchango wako Beatrice! hapa lazima maamuzi ya marehemu yaheshimiwe kwa kuwa hana uwezo wa kutoa maamuzi nengine wala kijitetea!Utabaki halali sababu wosia hata siku moja hauwezi kubadilishwa...u can not challenge nor change a will.So kama umeandika asipewe ni hapewi kitu hata kimoja.
kama ni hivyo kuna haja gani ya kuandika wosia? maana maamuzi ya marehemu lazima yaheshimiwe kwa maana hawezi kuubadili!Sijui kwa imani zngine, lkn kwa imani nnayofuata mimi, mke na watoto, iwe umewapa chao ktk wosia ama hukuwapa, bado watarithi na kwa hiyo wasia wako ni batili!
Lkn pia kama uluchogawa ktk wasia ni kikubwa kuliko mali iliobaki baada ya wasia, wasia wako ni batili

Sijui kwa imani zngine, lkn kwa imani nnayofuata mimi, mke na watoto, iwe umewapa chao ktk wosia ama hukuwapa, bado watarithi na kwa hiyo wasia wako ni batili!
Lkn pia kama uluchogawa ktk wasia ni kikubwa kuliko mali iliobaki baada ya wasia, wasia wako ni batili
Kama hakulezea sababu ni lazima mtoto huyo atapataKwa kuanzia na swali lilopo kwenye heading yako baadhi ya majibu ni haya,
1. ikiwa wosia haujasainiwa na aliyeuandika basi wosia huo utakua batili,
Q. Kama hakuna sahihi ya waliotuliwa kuwa shahidi
3. Mtu aliandika huo wosia pia anaweza batilisha yeyemwenyewe kama bado hajafa
Nikija kwenye maelezo ulotoa kuhusu mtoto mmoja kutohusika kwenye Mali zako,endapo wosia wako ukawa umefata matakwa ya sheria basi pindi aliyeandika huo wosia atafariki hakuna atakaye weza kubatilisha huo wosia.
Sasa huyo mtoto mmoja unataka kumwacha kakukosea nini jamani? Au unakuwa na wasiwasi kuwa ulibambikiwa au alikusea sana adabu? Ukiacha hivyo kisheria wosia wako ni halali. Concern yangu katika mfano wako ni jinsi huyo mtoto atakavyojisikia ikiwa wote pamoja na mama yake wanapata mgao halafu yeye anatengwa.Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?