Endapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?
Sio lengo kumnyima haki mtoto ila ni kuhusu ni jinsi gani wosia unaheshimiwa ili kulinda haki na heshima ya maamuzi ya marehemu! Ikumbukwe kuwa marehemu huwa na siri nzito ambayo ni vigumu kuijua!Jamani kwenye huo mfano wako nimemuonea huruma huyo mtoto unayetaka kumnyima chochote
Wazee hasa wa zamani huwa ni w asiri sana na Mara nyingi kufanya maamuzi kwa busara na endapo ikitokea mtoto kama huyo hajapata basi kuna sababu za msingi! tatizo linakuja pale ndugu wanapohoji wakati aliyeandika wosia kashafariki!Sasa huyo mtoto mmoja unataka kumwacha kakukosea nini jamani? Au unakuwa na wasiwasi kuwa ulibambikiwa au alikusea sana adabu? Ukiacha hivyo kisheria wosia wako ni halali. Concern yangu katika mfano wako ni jinsi huyo mtoto atakavyojisikia ikiwa wote pamoja na mama yake wanapata mgao halafu yeye anatengwa.
kuna kitabu cha wosia kizuri sana kimeongelea yote hayo kwa kiswahli bofya hapa SHERIA TANZANIAEndapo nitaandika wosia kuhusu jinsi gani Mali zangu zigawanye kwa wategemezi wangu kama mke watoto na ndugu!
mfano! Nina watoto wanne kwa mke mmoja na katika wosia wangu nikaeleza kuwa Mali zangu zigawanywe kwa mke, watoto watatu na nikawataja kwa majina,pia nikaeleza mtoto moja asihusike kwenye urithi wa Mali zangu bila kuweka wazi sababu za kufanya hivyo! Je, wosia wangu utabaki kuwa halali endapo nikifariki?
Je, ni mambo gani au mazingira gani yanaufanya wosia kuwa batili?
shukran mkuu.kuna kitabu cha wosia kizuri sana kimeongelea yote hayo kwa kiswahli bofya hapa SHERIA TANZANIA
kinauzwa mzee na kipo kwenye hard copy, siwezi kuitupia hapa. angalia kwenye www.sheriakwakiswahili.blogspot.comshukran mkuu.
Mkuu samahani unaweza kuweka Imani yako wazi ili kuwekana sawa kidogo?
Hili swala la Wasia mkuu ni pana sana na huwa lina utata sana, Wasia ukishatimia mashariti yake basi awe ameonewa au kapendelewa itabidi ufuatwe tuu na Mahakama kitu cha kwanza mahakamani wanachokuuliza kama marehemu kaacha Usia kama upo unaangaliwa kama vigezo vimetimia.Hivi kama mgawa mirathi ana wake wengi na sehemu kubwa ya mali alichuma na wake zake wakubwa let say mke wa kwanza na wa pili akisaidiana na watoto zao halafu ikatokea akaoa tena wake wengine wawili na akawatenga hawa wake zake wa awali na watoto wao akiwaachia nyumba tu za kujisitiri ila investment na miradi yote akawaandikia hawa wake zake wapya na watoto wao. Je ikitokea huyu mzee kazimika hao watoto na wake wakubwa waliochuma hizo mali wana haki gani iwapo hawapo kwenye wosia wa marehemu?
Nimekusoma mkuu... if thats what it is then hii sheria ya mirathi ina walakini. Na haiko fair kabisa. Na ni chanzo cha migogoro mikubwa zaidi ya familia.Hili swala la Wasia mkuu ni pana sana na huwa lina utata sana, Wasia ukishatimia mashariti yake basi awe ameonewa au kapendelewa itabidi ufuatwe tuu na Mahakama kitu cha kwanza mahakamani wanachokuuliza kama marehemu kaacha Usia kama upo unaangaliwa kama vigezo vimetimia.
hapo hata Mimi ndo ninavyoelewa wosia kama umatimiza vigezo vyote lazima uheshimiweHili swala la Wasia mkuu ni pana sana na huwa lina utata sana, Wasia ukishatimia mashariti yake basi awe ameonewa au kapendelewa itabidi ufuatwe tuu na Mahakama kitu cha kwanza mahakamani wanachokuuliza kama marehemu kaacha Usia kama upo unaangaliwa kama vigezo vimetimia.
hayo ni maamuzi ya marehemu na Kama ikibatilishwa ina maana marehemu hajatendewa haki. Maamuzi ya marehemu lazima yaheshimiwe kwa kuwa hawezi kujitetea wala kubatilisha.Nimekusoma mkuu... if thats what it is then hii sheria ya mirathi ina walakini. Na haiko fair kabisa. Na ni chanzo cha migogoro mikubwa zaidi ya familia.