Mambo gani yanayokukera huku Uswahilini kwetu na hasa kwenye nyumba za kupanga?

Nishapajua Au nikutajie mpka Mtaa haha
 
Mimi naipenda sana Mwananyamala asubuhi unanunua Chapati na Maharage yale maharage unakuja kuyaunga na nyanya na vitunguu unakuja kula na Ugali mchana usiku kuna chips za Jerojero.
 
Ukipita asubuhi kwenye zile chobingo lazma ukute wanaake wamekaa vibaya mapaja njenje
 
Kuna mshkaji wangu alikuwa anapigiaga nyeto hadi analia. RIP C. Mayomi!!!
Mimi ilikua mida yangu ya saa 3 asubuhi unawakuta wengine wanafua wengine wanaosha vyombo na kanga moja full kujidowlodia na kwenda kupiga nyeto gheto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…