Mambo gani yatabadilika kwenye maisha yako kipato chako kikipungua maradufu ( x 2)

Mambo gani yatabadilika kwenye maisha yako kipato chako kikipungua maradufu ( x 2)

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Ntahamia rasmi mkojo wa punda (balimi) ntaziacha heinken

bando la data ntapunguza matumizi, kwa kiasi kikubwa nitatumia free basics


Hiki chombo changu cha usafiri kinachotumia lita kadhaa kila siku itabidi nikiuze ninunue ist au vits kukabiliana na uhalisia
 
Nadhani hii mada ni yawenye kipato kikubwa.

Sasa na mimi kipato changu kikipungua tena ×2 nitakuwa bado nipohai tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una save hela mara paap TIN number ina madeni[emoji23][emoji23][emoji23]
Hili ndio kubwa kwa siku hizi. Kipato chako kinaweza kuwa milioni 20. Usingae ukiambia unadaiwa milioni 80.
 
Sisi tusio kunywa pombe na hatuna magari !! Tufanyejeee ?
 
Nitashindwa kuwasaidia wazazi wangu
Kwa wakat sahihi
 
Back
Top Bottom