sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Wacha kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake,unaonaje uache sasa ili u save pesa zaidi
Una save hela mara paap TIN number ina madeni😂😂😂Wacha kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake,
Hili ndio kubwa kwa siku hizi. Kipato chako kinaweza kuwa milioni 20. Usingae ukiambia unadaiwa milioni 80.Una save hela mara paap TIN number ina madeni[emoji23][emoji23][emoji23]