mambo hadharani tcu leo

viane

Member
Joined
Mar 26, 2012
Posts
79
Reaction score
19
Kwa wale waliyoomba vyuo mchakato utatimia leo hivyo hadi jioni au kesho mapema selection sitakuwa tayari. Kaeni mkao wa kujua utaenda chuo gani kati ya mlivyochagua
 
acha kutisha wa2 bna, unless una source your news is just like a broken pencil. Pointless
 
Wewe ndo public relation officer wa tcu au?
 
Naona unaleta habar za uongo kama ni kwel tupe chanzo sio unaongea tu
 
madogo msiwe na haraka na selection haziwezi toka leo wala kesho labda mwezi wa nane mwishon au wa tisa mwanzoni coz vyuo vinafunguz mwezi wa kumi na kuendelea so tulien ila kutoka lazima na vyuoni mtaenda na mtasoma sana mtapata supp,na carry over za kumwaga maana chuo siyo mchezo mwendo zaidi ya form six so be prepared.
 
Yani kipindi hiki kilamtu anatoa udaku wake ni bora tukanyamaza kuliko kuleta habari zisizo na uhakika
 
kwenye web yao wamedai ni kuanzia tarehe 15 august sasa hizi taarifa za wapi tena??
 
Hyo links ni higher learning institutions,co nyie.
 
Preshaaaaaaaaa,,,,,poleni,,,, ila mtapata tu vyuo,,,,, jiandaeni na kusap, kucarry, kutongozwa, na kupata marafiki wapi.... Maana first year ni new product aka container jipya,,,,, selection ni mwezi wa nane
 
Samahani ningependa kujua jinsia yako. . .
 
Preshaaaaaaaaa,,,,,poleni,,,, ila mtapata tu vyuo,,,,, jiandaeni na kusap, kucarry, kutongozwa, na kupata marafiki wapi.... Maana first year ni new product aka container jipya,,,,, selection ni mwezi wa nane

container jipya eee! Mtafurah!
 
Mimi yangu macho na masikio,kusoma na kusikiliza yanayosemwa,ila mwisho wa siku majibu yatatoka.
 
Preshaaaaaaaaa,,,,,poleni,,,, ila mtapata tu vyuo,,,,, jiandaeni na kusap, kucarry, kutongozwa, na kupata marafiki wapi.... Maana first year ni new product aka container jipya,,,,, selection ni mwezi wa nane

duh! Container
 
Hello, dear members, am new lakini nadhani selection la tcu li tayari linangoja partner wake heslb kujiridhisha na i4mation za loan applicants.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…