...nilishamcheki Dr. sio dsm ni Mt. Meru hospital Arusha,nikapewa miwani...sasa tatizo linalojitokeza ni kwamba ninakuwa nategemea sana miwani,yani siku nikiamua kutokuvaa miwani natamani pawe na mawingu ya mvua muda wote,mwanga wa jua unaniumiza macho mpk naota ndita usoni kwa sababu ya kubana macho!Mkuu hiyo condition inaitwa bilateral headache utakuwa unaumwa macho mcheki dokta pale AAR posta yuko vizuri hebu kacheki mapema
Pole sana mkuu...nilishamcheki Dr. sio dsm ni Mt. Meru hospital Arusha,nikapewa miwani...sasa tatizo linalojitokeza ni kwamba ninakuwa nategemea sana miwani,yani siku nikiamua kutokuvaa miwani natamani pawe na mawingu ya mvua muda wote,mwanga wa jua unaniumiza macho mpk naota ndita usoni kwa sababu ya kubana macho!
Mkuu hujawasahau kwa bahati mbaya tu... Ni kuwa havina madhara ukitumia kiasiPombe na Mbuzi wa kikatoliki Aka Mnyama wa Taifa nimewasahau pia wanaleta madhara
ugonjwa wangu wa kwenda chumvini je
Mkuu hujawasahau kwa bahati mbaya tu... Ni kuwa havina madhara ukitumia kiasi
Usimeze Vidonge vya kizungu vina madhara baadae ukivizoea sana. Kula punje 12 za Lozi unapo jisikia unaumwa na kichwa au waweza kunywa maji ya Uvuguvugu glasi 2 kichwa hapo hapo kitapona....hivi mzizi mkavu kama mimi ninaeumwa kichwa mara kwa mara sababu ya kuumwa macho,nikitazama kwenye mwanga mkali wa jua lazima niumwe kichwa,tena kinaumia kwenye mishipa ya pembeni ya jicho,hivyo kwangu kumeza hedex mara moja kwa wiki ni lazima,
Unanishauri nini niepuke kumeza hayo madawa ya kizungu,kiukweli siyapendi ila kichwa kikiuma sina jinsi kazima nizimeze,vinginevyo hata kula inakua shida..
Kufa watu hawaogopi kwani Kifo ni lazima wanacho ogopa Binadamu ni mateso sio kifo.Ukiacha kufanya hivyo Ndio haufi au??
Kiafya Fanya Tendo la Ndoa SEX kwa wiki moja mara 3 ukizidisha unaweza kuidhuru Afya yako ya mwili.Mkuu MziziMkavu nahitaji kujua maelezo kwa kirefu kuhusu namba 4.
Asante kwa ushauri mzuri, Mungu akubariki.Kiafya Fanya Tendo la Ndoa SEX kwa wiki moja mara 3 ukizidisha unaweza kuidhuru Afya yako ya mwili.