Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 239
Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari...
Kisheria, Rostam hayupo kwenye orodha ya wamiliki wa New Habari Corp ingawa inaeleweka kuwa yeye ndiye mwenye kampuni lakini hajaandikishwa hivyo (kama imeshasajiliwa Brela)MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake
Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:
Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari....
MAMBO HAYO: Gazeti la Rai halijui nani mmiliki wake
Gazeti la Rai toleo la leo limekuja na kali. Katika stori yake kuu ya ukurasa wa mbele yenye kichwa cha Habari Reginald Mengi aivuruga taaluma ya habari nchini halijui au halina uhakika nani mmiliki wa kampuni inayolichapisha. Stori hiyo, inayoendelea uk wa 2 katika Paragraph yake ya 11 inaanza kwa maneno yafuatayo:
Wengi wa wafanyabiashara waliotajwa na Mengi ni wamiliki wa vyombo vya Habari, akiwamo Rostam Aziz anayesadikiwa kumiliki Kampuni ya New Habari....
...E nyerere wetu hebu rudi upiganie tena uhuru wetu. Tupo chini ya utumwa wa SISI EM.
Nakumbuka kauli ya Mwalimu akielekea mauti...
Sababu za yeye kufanya hivyo ni wizi tu. mimi nashangaa watu wanamshabikia , RA na kumponda Mengi - na hasa watu wasomi na eti "wachumi" kama Prof Lipumba!
Huyu profesa ni aibu tupu na ndiyo maana CUF inaonekana kwenda chini na Chadema kupaa. Huyu Profesa hatambui kwamba hela walizoiba hawa akina RA ndiyo zilitumika kukipigiza chini kwqa kishindo chama chake katika uchaguzi wa 2005? sasa analamba viatu vya huyo mwizi/ nasikia kichefuchefu!