Mambo haya yanaliua jukwaa la Biashara na Uchumi

Watanzania ni watu Wa ajabu sana.
Mtu kawatapeli watu lakn bado mnataka watu wasiseme ukweli mnataka aendelee kusifiwa tu..
Huu ni udhaifu Wa hali ya juu sana.
Mno mno aisee,
Badala Kufurahi Utapeli kuwekwa hadharani, mtu anaanzisha thread kabisa kulalamika,
Duh
 
ontario arudishe milion 50 za wateja wake... na arudishe alizowaungizia kwenye account zao... hapo tutamsifia na kumuimbia mapambio
 
Ontario ni tapeli/ mwizi alikuwa analeta mada huku sio kusaidia watu bali kutafuta namna ya kuwaibia/ kuwatapeli ...
 
Watanzania wanapenda sana udaku udaku....habari za vijiweni......mada za kufikishana vileleni ,mada za mapenzi

Ukitaka kupata attention za wana jukwaa kuwa mmbobezi na mbunifu kwenye utunzi wa hizo mada pendwa.....
 
Ontario ni tapeli/ mwizi alikuwa analeta mada huku sio kusaidia watu bali kutafuta namna ya kuwaibia/ kuwatapeli ...
Mliingizwa kwenye ponzi scheme na hivi ndio huwa mwisho wa kampuni yoyote inayotymia ponzi scheme.ila huko kwenye fx si mnaambiwa invest what you can afford to lose.mi nawashauri mfanye vitendo sasa kwa kwenda mahakamani kuliko kulalamika kunaweza kusirudishe hizo hela.
 
Tatizo La Jamii Forum ya sasa ni kwamba Kila mtu ni Superstar, Tajiri, Kwao mambo fresh, Ujuaji mwingi, Kila Mtu ni msomi.... Ndo tatizo lilipoanzia watu hawawi wakweli. Sasa kila mtu anacheza Defensivee game kulinda Hadhi na status yakee
 
yaani best usinikumbushe huyo mtu anayeitwa kitomai achana nae kabisa huyo aliliza watu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…