Kisoda2 JF-Expert Member Joined May 30, 2008 Posts 2,475 Reaction score 745 Jul 28, 2009 #1 Nadhani hili lahitaji kuliangalia kwa umakini na kuwekwa mipaka....baba mzazi alimpa mtoto wake wa kike pipi.mtoto akajibu,.."SIDANGANYIKIIII!!"
Nadhani hili lahitaji kuliangalia kwa umakini na kuwekwa mipaka....baba mzazi alimpa mtoto wake wa kike pipi.mtoto akajibu,.."SIDANGANYIKIIII!!"
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,423 Jul 28, 2009 #2 Hahaha! huwezi jua tabia ya baba huyo.