lossoJR
JF-Expert Member
- Oct 11, 2012
- 2,711
- 2,384
1 ) Kumbe unaweza kushinda njaa
bila kufa(Lunch za kufuru zimepigwa BAN)
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula(kiporo)
na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda au bajaji kumbe
unaweza kutembea na ukafika
Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni
huduma ya msingi na Si ya kupuuzwa.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako Si yakuizoea.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika
chakula kizuri sana sana..
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa
kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni
matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast.
(kifungua kinywa).
10 )Kuoga na sabuni ya Kipande,
kumbe pia ni dawa ya ngozi
(11) kumbe unaweza kuishi bila
nyumba ndogo
(12)kuwahi kurudi
nyumbani ni Busara zaidi.
(13)Balimi na bingwa ndio bia bora
mjini zingine zote chungu
(14)Chainizi ni dawa ya ugonjwa wa
macho
(15)Kushinda nyumbani
kunaboresha ndoa na familia njema
(16)Kutembea kwa miguu umbali
mrefu ni mazoezi mazuri sana ya
mwili
(17)Kumiliki gari wakati unakaa
nyumba ya kupanga kumbe ni
utaahira.
(18)Dagaa ni mboga safi kwa
kukomaza mifupa ya binadamu
(19)Mihogo ni wanga na ni muhimu sana
mwilini.
(20)Perfume au spray zina madhara
makubwa kiafya hasa huleta mafua
-Heshima imerejea
Nasema Tena
Heshima imerejea.
bila kufa(Lunch za kufuru zimepigwa BAN)
2 )Kumbe unaweza kubeba chakula(kiporo)
na kwenda nacho kazini.
3 )Bila bodaboda au bajaji kumbe
unaweza kutembea na ukafika
Kazini.
4 )Tafadhali nipigie kumbe ni
huduma ya msingi na Si ya kupuuzwa.
5 )Nyama ni mbaya kwa Afya yako Si yakuizoea.
6 )Jiko la mkaa kumbe linapika
chakula kizuri sana sana..
7 )Ukisaga Mahindi yasiyokobolewa
kumbe yanatoa unga safii.
8 )Maji ya kuchemsha kumbe ni
matamu sana.
9 )Ugali pia kumbe ni breakfast.
(kifungua kinywa).
10 )Kuoga na sabuni ya Kipande,
kumbe pia ni dawa ya ngozi
(11) kumbe unaweza kuishi bila
nyumba ndogo
(12)kuwahi kurudi
nyumbani ni Busara zaidi.
(13)Balimi na bingwa ndio bia bora
mjini zingine zote chungu
(14)Chainizi ni dawa ya ugonjwa wa
macho
(15)Kushinda nyumbani
kunaboresha ndoa na familia njema
(16)Kutembea kwa miguu umbali
mrefu ni mazoezi mazuri sana ya
mwili
(17)Kumiliki gari wakati unakaa
nyumba ya kupanga kumbe ni
utaahira.
(18)Dagaa ni mboga safi kwa
kukomaza mifupa ya binadamu
(19)Mihogo ni wanga na ni muhimu sana
mwilini.
(20)Perfume au spray zina madhara
makubwa kiafya hasa huleta mafua
-Heshima imerejea
Nasema Tena
Heshima imerejea.