DocJayGroup
JF-Expert Member
- Jan 17, 2020
- 1,654
- 3,346
Ninagawa muda wangu nusu nusu Tanzania na nje ya Tanzania. Nje niko kikazi na Tanzania nakuja kuwekeza wekeza.kwa hiyo sasa hv unaishi wapi
Karibu sana mkuu John. Weka picha yako tafadhali.
Nipo USA. Fursa zipo nyingi na nyingi na nyingi sana hasa za kufanya kazi na unalipwa kwa dola. Tatizo ni kupata US viza sababu ubalozini wanasumbua siku hizi na sheria pia USA kwa wahamiaji wamebana sana sio kama zamani. Kwa hio fursa zipo lakini ndio hivyo inabidi ufike States kwanza kisha upate makaratasi ya kufanyia kazi. Hayo mawili ndio shughuli kidogo ipo, lakini inawezekana.Huko nje ni nchi gani hususani unaishi, na je ni fursa zipi za uwekezaji na kibiashara zinapatikana huko uliko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwekezaji kwa kweli USA kwa immigrants ni challenging kidogo sababu una-compete na corporations kubwa sana zenye billion of dollars. Kwa immigrants jambo zuri ni kufanya kazi na kulipwa dollars ambazo inaweza kuwa kati ya $5,000 na $10,000 kwa mwezi. Halafu unajitahidi ku-save ili uwekeze nyumbani tz sababu huko hata $10,000 inafanya kitu wakati kwa USA kuwekeza unahitaji hundreds of thousand of dollars au hata 1 million dollars na zaidi ili kufanya kitu at least cga kueleweka.Huko nje ni nchi gani hususani unaishi, na je ni fursa zipi za uwekezaji na kibiashara zinapatikana huko uliko?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaDoc John karibu JF
Nitaweka soonKaribu sana mkuu John. Weka picha yako tafadhali.
Sawa mkuu ahsante, ila jitahidi utafute na fursa za kibiashara na uwekezaji mkuu hizo za kazi peke yake hazitoshi kwa kipindi ulichoishi huko naamini unanafasi ya kufahamu zaidi kuhusu uwekezaji na biashara hasa kwa kuzingatia bidhaa tunazozalisha hapa kwetuNipo USA. Fursa zipo nyingi na nyingi na nyingi sana hasa za kufanya kazi na unalipwa kwa dola. Tatizo ni kupata US viza sababu ubalozini wanasumbua siku hizi na sheria pia USA kwa wahamiaji wamebana sana sio kama zamani. Kwa hio fursa zipo lakini ndio hivyo inabidi ufike States kwanza kisha upate makaratasi ya kufanyia kazi. Hayo mawili ndio shughuli kidogo ipo, lakini inawezekana.
Nimejaribu kutafuta masoko ya Tanzanian products hasa agricultural lakini quality ndio tatizo. Hawaamini kabisa products za africa. Ndio maana hata korosho yetu kwa USA wananunua tokea India na Vietnam sababu zina higher quality vs product inayotoka tanzania moja kwa moja. Sijakata tamaa lakini ni uphill battle.Sawa mkuu ahsante, ila jitahidi utafute na fursa za kibiashara na uwekezaji mkuu hizo za kazi peke yake hazitoshi kwa kipindi ulichoishi huko naamini unanafasi ya kufahamu zaidi kuhusu uwekezaji na biashara hasa kwa kuzingatia bidhaa tunazozalisha hapa kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwekezaji kwa kweli USA kwa immigrants ni challenging kidogo sababu una-compete na corporations kubwa sana zenye billion of dollars. Kwa immigrants jambo zuri ni kufanya kazi na kulipwa dollars ambazo inaweza kuwa kati ya $5,000 na $10,000 kwa mwezi. Halafu unajitahidi ku-save ili uwekeze nyumbani tz sababu huko hata $10,000 inafanya kitu wakati kwa USA kuwekeza unahitaji hundreds of thousand of dollars au hata 1 million dollars na zaidi ili kufanya kitu at least cga kueleweka.
Hio post hapo juu nimemaanisha kwamba Tanzania tuna korosho. Na nikienda supermarket hapa USA kama Walmart au Costco kununua korosho, nitakula korosho ya Tanzania lakini kwa kopo itasema made in India/ Vietnam kwa sababu ilitoka tz ikaenda kuwa processed huko India au Vietnam na ndio ikaletwa USA. Makampuni ya USA hayaamini kununua products directly kutoka nchi kama tz. Tuendelee kuboresha bidhaa zetu na kukuza kiwango, iko siku tutaaminika tu.Sawa mkuu ahsante, ila jitahidi utafute na fursa za kibiashara na uwekezaji mkuu hizo za kazi peke yake hazitoshi kwa kipindi ulichoishi huko naamini unanafasi ya kufahamu zaidi kuhusu uwekezaji na biashara hasa kwa kuzingatia bidhaa tunazozalisha hapa kwetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ya Tz ni kwamba ugali kidogo walaji wengi ndugu yangu. Kazi hizo wanazozitaka ni wengi sana na zipo chache sana. Kwa USA ziko nyingi sana ni wewe tu. Hio ndio tofauti. Asante kunitakia la kheri. Ni kupambana tu kwa kweli.Ni sawa mkuu nimekuelewa lkn hata hizo USD 10000 kwa mwezi hapa kwetu pia zinalipwa
Kila la heri huko nje
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na mtu amekuja kutafuta nini. Kwa starehe kweli zipo za kila aina na kila sehemu. Ukitaka mademu wa kizungu ndio kwenyewe. Nina mdogo wangu anawabadilisha kama nguo. Yap. Na kuna sehemu kama Vegas kila kona starehe masaa 24. Kuna matamasha kila sehemu ya watu kama Jay Z nk ukitaka kuwaona. Anasa za kiutu uzima pia. Pia urahisi wa maisha, Mabarabara makubwa. Umeme haukatiki, maji unakunywa kwa bomba nk.Kuna watu wanatusadikisha kuwa ukienda USA maisha ni matamu sana,hebu tueleze maisha yakoje na utamu huo ni vipi,watu wanapata pesa kiulaini bila ya kutoka jasho sana au pesa yake iko nje nje ukilinganisha na huku kwetu...?