Mambo mabaya kwenye simu ambayo ulimwengu wa Tech unalazimisha tuone ni ya kawaida

mix fold 3 ya xiomi inatoka lini mkuu
 
mix fold 3 ya xiomi inatoka lini mkuu
Xiaomi Mix Fold 3

Nimeingia Twitter haraka haraka nimeonaLei Jun ameipost, anasema itaachiliwa August mwaka huu

Ila watu wengi wanamtaka Lei Jun aifanye iwe available globally ili kuongeza competition, Xiaomi Mix Fold 2 ilikuwa ni simu nzuri lakini waliofaidi ni Wachina tu, dunia inakula kwa macho.
Hii ni comment ya Mmarekani ambaye anataka iwe available USA [emoji3][emoji3]
 
Na kuna Jamaa wanajiita pricepony.com.ph huko insta wanaonyesha models nyingi za nokia Bila kuonyesha upatikanaji wake au ni Mimi ndie nilieshindwa kuelewa@chief mkwawa
 
Kaka nina uhitaji na mashine y Samsung 7 edge used original. Simu yangu imeharbika mashine
 
Bado nakataa hii hoja. Kama issue ni uchafuzi wa mazingira, wangeleta simu ambazo zinaweza kutumia charger hi za kawaida. Na iwapo mteja atatakakutafuta charger yenye sifa apendazo ndio iwe optional. Lakini kuleta charger separately bado mazingira yatachafuka kwasababu inanilazimu kununua charger nyingine.
 
Andika na source ya bandiko lako kwasababu umecopy na kupaste kama sio kutranslate

Uwe unachanganua kwanza usikae ukategemea iOS na Samsung walete Type C za USB kirahisi hivyo licha ya kukubaliana kwamba 2024 zote zitakua ni Type C
Kwamba inakuuma sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hizo biashara tu mkuu hakuna mazingira hapo. Kama shida ni Mazingira wangeweka tu charger optional, ukitaka unachukua kama hautaki unaacha anapewa mwengine.
 
Redmi wahuni wanaachia update kwa rom za ue peke yake
 
Jambo jema ni kwamba kuna feature kwenye simu za Xiaomi inayokuwezesha kupata updates za haraka sambamba na Chinese version Reuben Challe naomba kujuzwa ni ipi hio
 
Jambo jema ni kwamba kuna feature kwenye simu za Xiaomi inayokuwezesha kupata updates za haraka sambamba na Chinese version Reuben Challe naomba kujuzwa ni ipi hio
Sorry for very late reply.
Ila kama bado unataka kujua hii feature inaitwa faster updates.
Soma kwenye hii screenshot
 

Attachments

  • Screenshot_2024-05-30-08-31-00-465_com.android.chrome.png
    513.3 KB · Views: 8
Put it in simpler way , iphone 13pm haina notch kubwa, 12pm kushuka ndio zina notch kubwa
14pm ilikuja na dynamic island but doesnt make notch ndogo, ni modified tu

Why one UI haikuwa designed ku run kwenye low end devices, one UI imekuwa designed ku run kwenye low end, and that ni kitu samasung waliwahi tolea ufafanuzi but then sababu soko la midrange na low range ni kubwa basi waka deploy

Midrange phones zitabaki kuwa midrange. Is why zinapewa soc za kawaida, sio highend soc
High end soc zitabaki kwa flagship devices
Kumbuka midrange zilitengenezwa ili wale wasioweza ku afford highend devices waweze ku afford simu
 
Nakubaliana na wewe kwenye suala la notch ya 14 Pro Max ila point ya "midrange haziwekewi high end SoC" hapa napinga.
Umewahi kufuatilia uwezo wa SoC iliyotumika kwenye Redmi Note 12 Turbo/Poco F5? Ina better kushinda hata Samsung Galaxy S22 Ultra yenye Snapdragon 8 Gen 1. Hapo ukija kwenye Xiaomi Poco F5 Pro ndio usiseme.
Google Pixel 8A ni midrange ila SoC yake ni ileile ya kwenye Pixel 8 Pro.

Labda midrange za Samsung ndio haziji na high end SoC ila Google Pixel (7A na 8A), na midrange nyingi za Kichina zinakuja na very powerful SoC.


Mwisho notch ya iPhone 13 PM ni kubwa unless unai compare na iPhone nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…