Mambo mabaya kwenye simu ambayo ulimwengu wa Tech unalazimisha tuone ni ya kawaida

Perfomance wise sawa ila flagship soc hata ya 2019 huko kama snapdragon 855 ina capabilities kubwa kwenye premium features nyengine kama Camera isp, modems na mambo mengine.
 
Coming to terms za google pixel 7A na 8A hizo sio midrange per specification. They almost have everything that contains kwenye flagship editions, is why ukicheki price wise bado zinafukuzana na flagship.
Redmi uliyoitaja hapo ina run on Qualcomm SM7475-AB or Snapdragon 7+ Gen 2
Hio soc sio flaghip, ni upper midrange.

Sasa wewe mwenyewe uniambia snadragon 8 gen 1 ni weak kwa snapdragon gen 7?

Mwisho nazungumzia notch ya 13pm

Hizo biashara za midrangw phones vs flagship ni complex, ninachojua hakuna kampuno itakupa flagship components kwenye midrange phones, otherwise midrange itapanda bei which sio lengo lao
 
Well
 
Perfomance wise sawa ila flagship soc hata ya 2019 huko kama snapdragon 855 ina capabilities kubwa kwenye premium features nyengine kama Camera isp, modems na mambo mengine.
Vipi kuhusu Redmi K60 Pro yenye Snapdragon 8 Gen 2?
Na yenyewe tutaiita flagship kwa sababu ina flagship SoC? Maana apart from SoC naona the rest of its specs ni midrange level
 
Components sawa, huwezi pewa flagship components kwenye midrange. Ila capable SoC unapata pia hata kwenye midrange
Redmi K60 Pro ina Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2
 
Vipi kuhusu Redmi K60 Pro yenye Snapdragon 8 Gen 2?
Na yenyewe tutaiita flagship kwa sababu ina flagship SoC? Maana apart from SoC naona the rest of its specs ni midrange level
K60 ni flagship ya redmi, K series zote ni. Flagship zao
 
Components sawa, huwezi pewa flagship components kwenye midrange. Ila capable SoC unapata pia hata kwenye midrange
Redmi K60 Pro ina Qualcomm Snapdragon 8 Gen 2
Sasa capable soc itategemeana na policy ya kampuni, soc anazotumia samsung kwenye midrange si sawa na redmi,xaomi,poco na ext. company policy ina play part kubwa kwenye hili

Mwisho wa siku ni user achague
 
K60 ni flagship ya redmi, K series zote ni. Flagship zao
Maybe ni flagship zao kwa ile maana ya "simu zao za juu kuliko zote"

Ila ukitoa Snapdragon 8 Gen 2, naona specs zote zilizobaki ni kama Redmi Note series tu. 8MP ultra, 2MP macro, USB Type C 2.0, plastic body, na price (460EUR)

Kwa Redmi ni flagship ila kwa level za simu zilipofikia sasahivi hii ni midrange tu yenye SoC nzuri
 
Mkuu usidharau sana soc, zaidi ya 50% ya simu ni soc, soc ndio ina determine uzuri wa simu kwa kiasi kikubwa.

Mfano hio camera, pixel kama wanazo nunua wa bongo huku 3 ama 4 series etc zina camera mbovu sana sometime mbovu kushinda hata midrange, unakuta sensor ni 1/2.4 ila zinatoa picha nzuri sababu ya software, hio software haiwezi kukupa picha nzuri bila Isp nzuri toka kwenye soc.

Simu ikishakuwa na sd 8 gen 2 hata kama imewekwa camera mbovu ukiweka Gcam ama mods nyengine zina uwezo wa kutake advantage ya isp na kukupa output nzuri kushinda midrange ya kawaida.

Same kwa mambo mengine kama Bluetooth, ram, storage, wifi, modems etc vyote automatically vinakuwa flagship level.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…