Mambo mabaya kwenye utamaduni wa Wasukuma

Na kama wewe sio msukuma ya wasukuma yanakuhusu nini? Jifunze kumpa kaisari kilicho cha kaisari na umpe Mungu kilicho cha Mungu
 
Mama hajui kwamba amekuwa nawe mganga wa kienyeji na mchawi mkuu wa wasukuma sasa. Ukianza kuota ndoto mbaya wala hutaelewa zinatoka wapi.
 
Content ya bandiko lako ni tofauti sana na heading, una chuki na wasukuma?
..sina chuki na wasukuma kwanza ni watu wapole na wema. Niliweka tu msisitizo maana hii kitu ya uchifu na utemi bado ina nguvu usukumani.
 
We ni msukuma?

Mbona hakunq machifu usukumani au waweza kututajia chifu wa eneo gani usukumani kwa sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…