Mambo machache usiyoyafahamu kuhusu jela ya ICC

Mpotoshe mwenzako halafu aishie kupelekwa guantanamo
 
Ndio, huku pazuri kabisa....na urojo utakuwepo
Ndivyo jela inavyotakiwa kuwa. Mfungwa akose uhuru wa kwenda anapotaka tu lakini huduma zingine zote apate.

Wasiwasi wangu ni size ya hivyo vitanda pichani, sidhani kama yule mama wa kipemba atatosha hapo
 
Tunaomba waandae na wapika urojo na Boflo kuna mtuhumiwa atawasili sio mda
 
uhuru wa kwenda atakapo ndo hakuna na ndiyo maana halisi ya jela
Hiyo ni tafsiri kwa mataifa yaliyoendelea ila huku kwetu jela ni mbaya, jela ni mateso.

Ukitoka salama shukuru Mungu, wengi hutoka na magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…