Elections 2010 Mambo makubwa

CCM NI NAMBA MOJA


  1. Kwa ufisadi
  2. Wizi wa Viwanja vya wazi
  3. Matumizi mabaya ya rasilimali za taifa
  4. Kulewa madaraka hadi kufikia kuwadhuru wananchi wasio na hatia ; mifano: Kule Tarime, Songea, Hai, Arusha n.k
  5. Kuendesha siasa za chuki ; kusambaza sms za chuki dhidi ya wagombea wengine
  6. Kutoa ahadi hewa huku wakijua wanawadanganya wananchi endapo watapewa ridhaa ya kuliongoza taifa
  7. Ni namba moja kwa Kufanya Urais ni suala la kifamilia, wamesahau ya kwamba hata mimi na wewe tunaweza kugombea urais endapo tutapewa ridhaa na umma wa watanzania kwa mujibu wa katiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…