**Mambo makuu matano yatakayo kutoa mapovu hapa Tz**

Civil Engineer tz

Senior Member
Joined
Dec 17, 2017
Posts
103
Reaction score
82
Uzi huu ni maalumu kabisa kwa wale wenye msongo wa mawazo ambao njia zao za kuutoa ni kwa matusi au lugha yoyote ya kejeli.


Pitia sasa haya mambo matano upate kutoa stress a.k.a povu a.k.a msongo wa mawazo;


A). Mwanaume asiye na akili hawezi kuishi na mwanamke, ni ujinga wake huyo mwanaume ndio uliopelekea akashindwa kuishi naye.


B). Nyuzi nyepesi nyepesi hapa jf zinachangiwa na wanawake kwa wingi, na nyuzi hizo huandikwa na wanaume wasio na akili ambao wameshindwa kuishi na wapenzi wao.


C). Bora mwanamke mjinga mtii kwa mumewe kuliko mwanamke msomi mlevi. NB; ukiwa mwanamke mlevi lazima uwe mjinga tu na hutomwofu mumeo.


D). Watanzania wajinga ni wale wasioona mazuri yanayofanywa na Mh Rais JPM kipenzi cha wengi, wao wamejaa ujinga wanaojaribu kuutoa kwa kupinga kila kitu.


E). Ukitaka upate idadi ya wajinga humu jf, basi hesabu watukanaji walio**publish** matusi/ujinga wao kwenye nyuzi za jf.



**RUKSA SASA KUTOA MAPOVU/MATUSI/STRESS, HII ITAKUSAIDIA KUKUWEKA KAWAIDA USIJE UKAJIUA/UKAJI-KABARI**


NISISAHAU ::: NYUMBA ZA IBADA SIO MUHIMU KWA WENYE HIZO STRESS,,, NDIO MAANA WAMEJAA LUGHA CHAFU.
 
Wewe mjinga kama walivyowajinga wengine pumbavu
 
Huwaa najaaa povu paleee mazwazwa yanapotumia nguvu nyingi kujibu kwenye siledi zangu au kuniqoute kwenye comment

Alafu anajibu maneno mengi hakuna unachoelewaaa huo ni uzwaaaaazwaaaa daaaadek
 
Hizi ndio Akili za macivil engineer wa Tz yetu acha maghorofa yetu yawe na expansion joint ya mshazari hakuna namna.
 
Huwaa najaaa povu paleee mazwazwa yanapotumia nguvu nyingi kujibu kwenye siledi zangu au kuniqoute kwenye comment

Alafu anajibu maneno mengi hakuna unachoelewaaa huo ni uzwaaaaazwaaaa daaaadek
Except mimi
 
Haya dada umesikika huko ulipo,ndio umetoka kuukalia...
 
Kwa level ya uelewa wa ma-engineer wetu hili bandiko lako lipo sawa kabisa.. ila tukienda duniani utaonekana unaugua sifa na kutokujielewa...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndioo
Kuna watu wanamapovu hayo,. Duuh sio ya dunia hii...nahisi ni ya kuzimu kabisa...ndio maana niwaandikia uzi huu mtamu sana waung'ateng'ate waule kabisa ili angalau wachelewe kwenda huko, huwezijua labda wakanusurika mwishoni kama kuopolewa katika moto vile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…