Atashangaa pia wewe kupost huu upuuziWakuu
Yafuatayo ni mambo makuu ambayo naamini kabisa yatamshangaza sana kama sio kumshtua Babu Seya atakapotoka Jela.
(1) Mh Freemen Mbowe bado ni Mwenyekiti wa Chadema
(2) JPM "kutekeleza" ajenda zote kuu za Chadema.
(3) Mazishi ya kitaifa ya kamanda mbwa yakiogozwa na Wabunge wawili.
(4) Marufuku ya kutamka neno Ufisadi Chadema
(5) Kila Mbunge wa Upinzani kufuatiliwa na Nissan nyeupe
(6)Wabunge wanaoenda CCM kununuliwa lakini wanaoenda upinzani wanajitoa kwa hiari yao
(7)CCM kuiba kura uchaguzi wa madiwani na kushinda kata 42 kati ya 43
Karibuni tuendelee
Mkuu mwaga nondoBaba seya mgogoro wake unaanzia huko kwao Congo, wala hakuna uhusiano na suala la ubakaji
kwa lugha nyingine jamaa alikuwa political prisoner, hizo nyingine ni porojo tu.
Issue ya kulawiti ilikuwa ni kum blackmail tu.
MkuuMkuu mwaga nondo
Unanifanya nicomeMkuu
Ieleweke kwamba Babu seya na wanawe ni wafungwa wa kisiasa, mengine yalikuwa propaganda tu za kuwaweka behind bars.
Siku moja ukija kujua yule mfalme wa nchi X aliyemuachia kiti huyu wa sasa asili yake ni kongo, nahisi utachanganyikiwa zaidi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bashite kumkuta akiwa mtu mkubwa