Babu zertu walitufunza kwa hadithi za kusadikika.hata kama hii ni ya kusadikika ina funzo sana you have rock it man.wangapi waliopita vyuo hawajui habari za washika pembe na wakamuaji?the same applies here,mlokole alikuwa mshika pembe na bounser alikuwa mkamuaji na maisha ya chuo mostly ndo ukweli huo thanks for alerting our youngs