Mambo manne ambayo hupaswi kuyafanya wakati wa kulala..

Kitu kinachonipa faraja ni simu ntaanzia wap kwa mfano? Hii ndo unibebeleza na kupata usingizi hasa niwapo jf.
 
No.2 hehhehe kitafta usingizi on the daily
 
Umeacha moja...

5) usilale na mume/mke wa mtu nihatari sana kufanya haya wakati wa kulala
 
Mwisho wa siku mtatuambia ukitaka kuishi vizuri uhame duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…