msukule mzembe
JF-Expert Member
- Apr 28, 2022
- 253
- 302
Nisiwachoshe sanaaaaaaaa, ila kiufupi ndo nimetoka kifungoni.
Baada ya kutoka jela majuzi nimesikitishwa na baadhi ya taarifa ambazo nimekutana nazo. taarifa hiyo ni kuhusu mimba ya Nandy.
Kusema kwelu Nandy ni demu wangu tunapendana sana na tumetoka mbali sana, kitendo cha kusikia ana mimba kiliniuma sana zaidi ya sana, kiufupi roho inaniuma sana na Billnas kanikera sana[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Taarifavya pili iliyoniumiza sana ni baada ya wale mbuzi wangu wa Temeke niliokua nawakamata bure na kuwala kwa siku hizi siwaoni na taarifa inayosambaa ni kua wamekufa. hii taarifa imeniumiza sanaaaaaaaaa [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Pia nimeshangaa kukutana na kitu kinaitwa Mandonga, mtanzania wa kwanza kufanikiwa kupitia kuaibika kwake[emoji23][emoji23][emoji23] hili jambo limenitia wasiwasi na kunipa moyo[emoji16][emoji16][emoji16]
Kazi njema tupo pamoja
Na switch off...........